Vitu mingi mara moja kweli umeshindwa kujitetea? Kenya tunajenga expressway mbili, tunapanua port ya mombasa iwe ya pili bara afrika, tunajenga bara bara upande zote ya kenya, bado tumemamaliza commuter rail kwa muda unaofaa. Bado tuko karibu kumaliza cycling na pedestrian lanes kwa miji yote tatu ya Nairobi, mombasa na kisumu, tunajenga mji nzima kutoka kwa ground(Konza), tunasambaza stima sahi imefikia 85% ya wakenya, Hospitali 24 zimepanuliwa kwa kila pembe ya taifa, na zingine 24 zinajengwa sahi kwa slums, tuko na mabwawa 6 tunajenga na ziko karibu kukamilika tunavyozungumza.
Nyinyi ni rufiji, sgr na kibaha highway ambazo zimekwama kazi ya GOT sasa ni kujisifu vile imebana matumizi ilhali kubana matumizi hufanywa wakati uchumi iko taabani, na watanzania kwa ujinga mnashangilia.