Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Naombeni Wakenya mpite hapa kmy kmy, mlikuwa mnataka progress haya hii hapa ya October[emoji116][emoji116]

 
Naombeni Wakenya mpite hapa kmy kmy, mlikuwa mnataka progress haya hii hapa ya October[emoji116][emoji116]

Kitu yenye ilikuwa izinduliwe mwaka uliopita tuitazame progress yake kwa nini? Posti wakati imekamilika tutaitazama
 
Kwn ni nani alikuambia ilikuwa ni lazima izinduliwe mwaka uliopita?
Haha ni utani tu. Mimi huwa nazitazama kabla yako. Mimi nilisubscribe kwa Reli TV youtube mwaka uliopita na Yapi Merkezi. Wakitoa video napata notification. Kungu Kadogosa unamfahamu? Na yule mwanahabari aliyechangamka Ben Mwanantala pia namfahamu ila siku hizi hayupo sijui ameenda wapi.
 
Yupo km kawa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bandari ya mombasa sasa iko na capacity ya 2.5 million teus, hakuna bandari east and central africa inafikia hiyo. Bada ya upanuzi ya phase 2 container terminal Mombasa itakuwa na capacity ya 3.5 million teus.
Dar najua hata haifiki 1 million teus na hiyo ndio kubwa Tanzania.
Kisha ujue kwa saa hii mombasa imeshajenga terminal kubwa kabisa sub sahara afrika ya LPG, na tuko karibu kumaliza terminal kubwa bara ya afrika ya mafuta.
 
Na ukumbuke hiyo ya mombasa sio lamu port ambayo berth za kwanza tatu zimekamilika na iko na capacity kubwa bado ya 1.5 million teus (Dar bado ni ndogo kwa lamu port). Yani bado port zenyu zote bado hazifikii port ya Lamu ambayo phase 1 imemalizwa tu miezi 4 iliyopita.

Meli ya kwanza (post panamax) ya Mearsk itafika hapo lamu mwezi wa december 2020, kisha ipakie mizigo kwa meli ndogo(Panamax) ya kuenda mombasa na djibouti, alafu mombasa iweke kwa meli ndogo ya kuja dar.
 
Ww kumbe bado unaota, huo ufala ulikuwa unafanyika enzi za Kikwete co Magufuli, yn kwa ss meli kubwa zinatia nanga bandari ya salama direct tofauti na huo ufala uliosema hapa, ww subiri impact yake soon bwege ww [emoji3][emoji3]
 
Nyie wazembe mnaoishi 1800s wkt wenzenu tupo 2020 mpooo, vp mtumba wenu umeshaanza kusafirisha watu?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Oneni wenzenu tunavyo take off, ona mradi hapa chini ni msimbazi valley tunakwenda kuifanya Eden ndogo, Wakenya oneni WaTz tunavyotumia Elimu kutukomboa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Nyie mnatumia Elimu kufanya cartels and looting [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
tuko vizuriii mazeee....acheni tupige kokaa kdg mazee😄👍🏼#2022!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…