Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Naombeni Wakenya mpite hapa kmy kmy, mlikuwa mnataka progress haya hii hapa ya October[emoji116][emoji116]

Kitu yenye ilikuwa izinduliwe mwaka uliopita tuitazame progress yake kwa nini? Posti wakati imekamilika tutaitazama
 
Kwn ni nani alikuambia ilikuwa ni lazima izinduliwe mwaka uliopita?
Haha ni utani tu. Mimi huwa nazitazama kabla yako. Mimi nilisubscribe kwa Reli TV youtube mwaka uliopita na Yapi Merkezi. Wakitoa video napata notification. Kungu Kadogosa unamfahamu? Na yule mwanahabari aliyechangamka Ben Mwanantala pia namfahamu ila siku hizi hayupo sijui ameenda wapi.
 
Yupo km kawa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nyie mnapanua bandari cc tushapanua yetu na tunajenga nyingine mpya kule Kigoma, mtwara, tanga n.k, tunajenga meli nyingi ziwani na baharini, tumejenga ferries nyng mno, stands za kutosha nchi nzima, roads ndo usiniambie kila siku mnaona humu, ndege mpya za abiria na mizigo zitaingia soon mtaziona, mabwawa ya umeme co tu JNHP nadhani mnafahamu, vituo vya afya kila kona ngj cku nijitoe ufahamu nipige picha vituo vichache vya afya km 10 ili nikupe direction uelewe namaanisha nn cz hvyo vituo vya afya tulivyojenga kwenu ni hospitali kamili, pia tumejenga hospitali nyingi mno mno yn ukisikia Magu kapita kwa kishindo juwa tunamaanisha, yn development is everywhere nashindwa kuandika hapa nitajaza page, itoshe tu kusema mjipange kushindana na Tz iko level ya peke yake km mnabisha Subiri reports mpya ziwe zinatoka, c mnakumbuka ile ya dollar millionaires? Basi ile ndiyo iwape taswira ni wapi Tz inaelekea [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bandari ya mombasa sasa iko na capacity ya 2.5 million teus, hakuna bandari east and central africa inafikia hiyo. Bada ya upanuzi ya phase 2 container terminal Mombasa itakuwa na capacity ya 3.5 million teus.
Dar najua hata haifiki 1 million teus na hiyo ndio kubwa Tanzania.
Kisha ujue kwa saa hii mombasa imeshajenga terminal kubwa kabisa sub sahara afrika ya LPG, na tuko karibu kumaliza terminal kubwa bara ya afrika ya mafuta.
 
Nyie mnapanua bandari cc tushapanua yetu na tunajenga nyingine mpya kule Kigoma, mtwara, tanga n.k, tunajenga meli nyingi ziwani na baharini, tumejenga ferries nyng mno, stands za kutosha nchi nzima, roads ndo usiniambie kila siku mnaona humu, ndege mpya za abiria na mizigo zitaingia soon mtaziona, mabwawa ya umeme co tu JNHP nadhani mnafahamu, vituo vya afya kila kona ngj cku nijitoe ufahamu nipige picha vituo vichache vya afya km 10 ili nikupe direction uelewe namaanisha nn cz hvyo vituo vya afya tulivyojenga kwenu ni hospitali kamili, pia tumejenga hospitali nyingi mno mno yn ukisikia Magu kapita kwa kishindo juwa tunamaanisha, yn development is everywhere nashindwa kuandika hapa nitajaza page, itoshe tu kusema mjipange kushindana na Tz iko level ya peke yake km mnabisha Subiri reports mpya ziwe zinatoka, c mnakumbuka ile ya dollar millionaires? Basi ile ndiyo iwape taswira ni wapi Tz inaelekea [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na ukumbuke hiyo ya mombasa sio lamu port ambayo berth za kwanza tatu zimekamilika na iko na capacity kubwa bado ya 1.5 million teus (Dar bado ni ndogo kwa lamu port). Yani bado port zenyu zote bado hazifikii port ya Lamu ambayo phase 1 imemalizwa tu miezi 4 iliyopita.

Meli ya kwanza (post panamax) ya Mearsk itafika hapo lamu mwezi wa december 2020, kisha ipakie mizigo kwa meli ndogo(Panamax) ya kuenda mombasa na djibouti, alafu mombasa iweke kwa meli ndogo ya kuja dar.
 
Ww kumbe bado unaota, huo ufala ulikuwa unafanyika enzi za Kikwete co Magufuli, yn kwa ss meli kubwa zinatia nanga bandari ya salama direct tofauti na huo ufala uliosema hapa, ww subiri impact yake soon bwege ww [emoji3][emoji3]
 
Nyie wazembe mnaoishi 1800s wkt wenzenu tupo 2020 mpooo, vp mtumba wenu umeshaanza kusafirisha watu?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Oneni wenzenu tunavyo take off, ona mradi hapa chini ni msimbazi valley tunakwenda kuifanya Eden ndogo, Wakenya oneni WaTz tunavyotumia Elimu kutukomboa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
tapatalk_1605167291870.jpeg
tapatalk_1605167314698.jpeg
tapatalk_1605167299365.jpeg
 
Nyie mnatumia Elimu kufanya cartels and looting [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
tuko vizuriii mazeee....acheni tupige kokaa kdg mazee😄👍🏼#2022!!
FB_IMG_1605200338053.jpg
 
Back
Top Bottom