Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Naona report ya better public transport imewauma kweli kweli mpk mmeacha kupost mtumba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ethiopia iko na hivi vyote lkni bado haifiki Kenya sasa Tanzania ni nani
Hua nashangaa hawa jamaa, mara utawaskia sijui, 'tukimaliza kujenga SGR, stegler gorge dam, crude oil pipeline.. etc tutawapita kiuchumi '

Ethiopia wako na hio SGR ya umeme, wako na umeme mwingi, wako zaidi ya watu 100 million, lakini bado hawaja tupita!
 
Tz haijwahi na haitowahi kushindana na nchi yyte ya Africa, cc lengo letu ni kuwa km Europe, ss tuanze kushindana na nchi yenye maslums kuliko nchi zote duniani ili tugundue nn kwa mfano [emoji3][emoji3][emoji205][emoji205][emoji205][emoji113]
 
Nyie mafala mbn mpo kmy humu kwa huu uzi? Au ndo mshauzoea mtumba ndo mnagundua kuwa mlipigwa, yn karne ya 21 bado mnanunua mitumba!! WTF, hebu oneni the most developed country in EA[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji205][emoji205]
 
Wewe inaonekana hii mambo ya commuter train ilikuuma sana. Pole sana mzee
 

Attachments

  • Screenshot_2020-11-28-11-09-03.png
    158.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_2020-11-28-09-21-30.png
    175.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_2020-11-28-09-00-16.png
    213.6 KB · Views: 1
hizi sio zile ambazo zinashika moto bila sababu barabarani
 
ndio hizo ambazo nairobi hazipo[emoji23][emoji23][emoji23].

walijaribu kuiga wakaishia kupaka rangi super haighway[emoji23][emoji23],ikakaa raibow.
Mazembe sn haya majitu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122]
 
Most modern transport iko wapi we mwehu nn yn mtumba unaita modern, fala ww hii hapa phase 2 brt network call it the most modern transport network within the EAC countries [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

HAHAHAHA, niliwaambia hata phase 2 bado haijakamilika na World bank wamekasirika sana kwa huo uzembe. Bado ni hile tu 21km ya phase 1. World bank kwa sahi wanaona hawatatoa mkopo ingine kwa BRT ya Tanzania.

Yani sub saharan africa kumbe ni south africa na Kenya ndizo ziko na commuter rail transport inapita 200km. Nyinyi wengine bado ni kukimbizana na basi.

Unakumbuka nikikupasha habari kuwa phase 1 iko na laini 5 za 200 km? Basi hivi juzi wameenda kwa kasi mpaka laini ya 6 iliyokuwa imalizwe phase 2 imeanza kazi Nairobi Central station mpaka Athi river. Na february 2021 treni ni mpaka ndani ya JKIA.

Nyinyi BRT bado mnakimbizana na laini moja ya 21 km.
 
Tz haijwahi na haitowahi kushindana na nchi yyte ya Africa, cc lengo letu ni kuwa km Europe, ss tuanze kushindana na nchi yenye maslums kuliko nchi zote duniani ili tugundue nn kwa mfano [emoji3][emoji3][emoji205][emoji205][emoji205][emoji113]
Ningekuamini kama ungekua hauko hapa kila siku kushindana na wakenya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…