The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Naona report ya better public transport imewauma kweli kweli mpk mmeacha kupost mtumba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanaongelea kuhusu Intra-City transport. Kama utaanza kuongelea inter-city basi si ndege ndo most advanced???The real most advanced public transport in East and Central of Africa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1633948
Ethiopia iko na hivi vyote lkni bado haifiki Kenya sasa Tanzania ni naniWatu wanaongelea kuhusu Intra-City transport. Kama utaanza kuongelea inter-city basi si ndege ndo most advanced???
Alafu umesahau Ethiopia
View attachment 1635283
View attachment 1635286
View attachment 1635288
Hua nashangaa hawa jamaa, mara utawaskia sijui, 'tukimaliza kujenga SGR, stegler gorge dam, crude oil pipeline.. etc tutawapita kiuchumi 'Ethiopia iko na hivi vyote lkni bado haifiki Kenya sasa Tanzania ni nani
Haifiki Kenya kwenye nn au ndo GDP [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ethiopia iko na hivi vyote lkni bado haifiki Kenya sasa Tanzania ni nani
Tz haijwahi na haitowahi kushindana na nchi yyte ya Africa, cc lengo letu ni kuwa km Europe, ss tuanze kushindana na nchi yenye maslums kuliko nchi zote duniani ili tugundue nn kwa mfano [emoji3][emoji3][emoji205][emoji205][emoji205][emoji113]Hua nashangaa hawa jamaa, mara utawaskia sijui, 'tukimaliza kujenga SGR, stegler gorge dam, crude oil pipeline.. etc tutawapita kiuchumi '
Ethiopia wako na hio SGR ya umeme, wako na umeme mwingi, wako zaidi ya watu 100 million, lakini bado hawaja tupita!
Wewe inaonekana hii mambo ya commuter train ilikuuma sana. Pole sana mzeeNyie mafala mbn mpo kmy humu kwa huu uzi? Au ndo mshauzoea mtumba ndo mnagundua kuwa mlipigwa, yn karne ya 21 bado mnanunua mitumba!! WTF, hebu oneni the most developed country in EA[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji205][emoji205]View attachment 1636919View attachment 1636920View attachment 1636921View attachment 1636922View attachment 1636923View attachment 1636924View attachment 1636925
Nyie mafala mbn mpo kmy humu kwa huu uzi? Au ndo mshauzoea mtumba ndo mnagundua kuwa mlipigwa, yn karne ya 21 bado mnanunua mitumba!! WTF, hebu oneni the most developed country in EA[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji205][emoji205]View attachment 1636919View attachment 1636920View attachment 1636921View attachment 1636922View attachment 1636923View attachment 1636924View attachment 1636925
hizi sio zile ambazo zinashika moto bila sababu barabaraniNyie mafala mbn mpo kmy humu kwa huu uzi? Au ndo mshauzoea mtumba ndo mnagundua kuwa mlipigwa, yn karne ya 21 bado mnanunua mitumba!! WTF, hebu oneni the most developed country in EA[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji205][emoji205]View attachment 1636919View attachment 1636920View attachment 1636921View attachment 1636922View attachment 1636923View attachment 1636924View attachment 1636925
hizi sio zile ambazo zinashika moto bila sababu barabarani
Mazembe sn haya majitu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]ndio hizo ambazo nairobi hazipo[emoji23][emoji23][emoji23].
walijaribu kuiga wakaishia kupaka rangi super haighway[emoji23][emoji23],ikakaa raibow.
Naona report ya better public transport imewauma kweli kweli mpk mmeacha kupost mtumba![]()
![]()
![]()
![]()
Waone jinsi watu wanfaaa kusafiri wakienda kazini. sio zile vioja za basi ambazo zimejaa kunguni na chawa.
Most modern transport iko wapi we mwehu nn yn mtumba unaita modern, fala ww hii hapa phase 2 brt network call it the most modern transport network within the EAC countries [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Ningekuamini kama ungekua hauko hapa kila siku kushindana na wakenya!Tz haijwahi na haitowahi kushindana na nchi yyte ya Africa, cc lengo letu ni kuwa km Europe, ss tuanze kushindana na nchi yenye maslums kuliko nchi zote duniani ili tugundue nn kwa mfano [emoji3][emoji3][emoji205][emoji205][emoji205][emoji113]