Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Let me start with the dodoma bus stand and market which was financed by World Bank. Kama wewe ni mwanaume pinga kutumia evidences.
Modern market, bus terminal to boost capital city status
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Screenshot that part utuonyeshe. You can`t up with your illusions then you want to force us to believe. That can only work with you fellow low IQ guys.
Tz kuna new modern markets km upupu, hapa mtaani kwetu tu kuna market ya kisasa ghorofa moja nayo ni financed by GoT.
 
Screenshot that part utuonyeshe. You can`t up with your illusions then you want to force us to believe. That can only work with you fellow low IQ guys.

Hebu tumia tu lugha yako ya kijaluo hapo maana sijakuelewa..

WB walichangia kwenye ujezi wa Dodoma martket and stage. Walichangia baada ya Rais kuzindua ujunzi, kwamba kazi ilikuwa inaendelea wao wakaja kuiongezea tu. Same applies to Uhuru hospital At Dodoma, ujenzio ulikuwa unaendelea then Airtel wakaongezea mwendo..

Halafu unataka mfano wa hapo Dodoma tu ndio iwe kwamba masoko yote 30+ nchi nzima na bus stage ni msaada kutoka WB? Mbona hao WB wameitaja Dodoma tu kama wametoa loan sehemu nyingine si wangesema pia?
 
Prove your point with evidence venye nimefanya kijana. You are wasting my time.
 
Anatafuta Evidence [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…