Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Na nyinyi wenye hamuwezi fund key sectors like Education,Health.
Kazi ni kupewa grants na donation
Hata choo pia ni msaada
IMG_20200128_083158.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ebwanaaeeh nimeangalia mara 10 10 kinachowapa hii shangwe yote hata siamini macho yangu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] you can imagine how worst experience they struggle with [emoji3][emoji3][emoji3]
Alafu mkuu kwenye hzo picha zake nimeangalia mazingira yao aisee kenya chafu jamani [emoji3][emoji3]
 
Dah kumbe hata hivi napo ni kwa nguvu ya mkopo? [emoji44][emoji44][emoji44]

Mimi nilijua mmejikakamua wenyewe kutokana na ufinyu wa resources ndio mkaja na hiki kituko, [emoji16][emoji16][emoji16] kumbe ni pesa ya WB? Dah mmetapiliwa kama kawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna mradi kenya itafanya kwa pesa ya ndani, never.
 
Lazima, nyinyi hamukopeshwi kwa sababu mtarudi kulia musamehewe. Ndiyo maana BRT phase 2 imekwama bado ni kale kilomita 21 pekee ndiyo kana fanya kazi.
Hivi tunavyozungumza World bank wamesema watatoa tena $400 million kutengeneza commuter rail ya Mombasa.
Hii ndiyo tofauti ya kuwa nchi inayoaminika kwa kulipa deni.

Hata standard chartered wameanza kufikiria mara mbili kuwapa hile mkopo ya $1.4 billion baada ya nyinyi kulia sana na kuomba word bank na IMF iwasamehe deni lenyu la Taifa.
Angalia hapa mnavyolia lia na deni la mchina [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

Kenya's Chinese-Built Railway Proves Pricey
 
Na nyinyi wenye hamuwezi fund key sectors like Education,Health.
Kazi ni kupewa grants na donation

Haya mambo usiandike tu kwa kuropokwa kama kasuku.. Tanzania inajenga masoko makubwa kila mkoa, bado imejenga masoko ya madini kila kwenye madini, huko kote hakuna hela ya US wala WB... sasa ndio nauliza hapo kunyaland kama sio hao mabwana zenu ina maana msingeweza kujenga?
 
Hakuna soko hata moja mmejenga na pesa zenu, zote ni either grants or donations.
 
The american government is rumoured to be behind this new found interest by the world bank into Kenya's infrastructure space.

The world bank is also bankrolling the recent rise in construction of modern markets all across the country. The markets come fully equipped with road networks, cold storage facilities, loading bays and the operations will be based on Barbes market in paris.
Hivi kwanini lazima muonyeshe kwamba USA yupo nyuma kuwaunga mkono, ninyi wenyewe hamjiamini?, kama WB imetoa pesa, mnataka USA awe nyuma ya huo mradi ili iweje?.

Sisi tulipewa pesa na WB tukajenga BRT phase one, AfDB imetupa pesa tunakamilisha phase 2 bila kuwataja USA, mbona mnakua wajinga kiasi hicho?
 
Hakuna soko hata moja mmejenga na pesa zenu, zote ni either grants or donations.

Hahah hatuwezi kufanana, Tanzania sio nchi ya kushindana nayo kizembe hivyo kama mnavyofikiria humu... Hakuna mahali hata senti ya kutoka nje imetumika katika ujenzi wa hayo masoko.
 
Wajamaa ni wajinga,
Kupumbazwa kama wajinga,
Unashindwa kufund security alafu unajigamba umejenga soko tena wenyewe ni donation
Their government knows very well that they hate reading and they can`t do any research on any of their projects. Sasa kazi ni ya kuwadanganya tu na kupita.
 
Hahah hatuwezi kufanana, Tanzania sio nchi ya kushindana nayo kizembe hivyo kama mnavyofikiria humu... Hakuna mahali hata senti ya kutoka nje imetumika katika ujenzi wa hayo masoko.
Just name at least one market mmejenga na pesa zenu, I want to show you something.
 
Back
Top Bottom