komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Sasa watafanyaje, manake ishu za ku hike fares aai watazionea viusasa.HAHAHAHA, Noma bana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa watafanyaje, manake ishu za ku hike fares aai watazionea viusasa.HAHAHAHA, Noma bana.
Shangaa na ufaransa pia ku purchase kutoka kw hao jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ebwanaaeeh nimeangalia mara 10 10 kinachowapa hii shangwe yote hata siamini macho yangu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] you can imagine how worst experience they struggle with [emoji3][emoji3][emoji3]
Budget ya kupulizia hewa kwenye hii mifupa ya Mkoloni aliowaachia ingetosha kujenga latest sophisticated trams lakini serikali yenu imeshawatapeli tayari 😁😁😁Naona mwendawazimu wa kijiji amekuja sokoni wakati zimempanda!!!
Sasa hapo Kenya Kuna kipi zaidi ya hizo aibu? Watu wanawekeza kwenye BRT na tram ninyi mnafufua mizoga ya 1680s 🤣🤣🤣🤣
Halafu mnavyojisifu sasa😂😂😂😂😂
Mtu akiona hii optimization yenu anaweza fikiria ni kitu cha maana kumbe ni hizo takataka 😁😁😁
Haka ni kale kareli kibaki alijenga(rehabilitate ) back in 2011. Kutoka tao kwenda syokimau na pale buru/ Hamza station.Nairobi commuter rail a project funded by the world bank to the tune of $290 million has started taking shape . The start date of the service is October 2020. Here is a list of what has been done and what is still in progress.
Track
Already 160 km of 200 km of rail has been rehabilitated in phase 1. The portion that remains is the avenue park to embakasi station track.
View attachment 1580396Along outer ring road close to donholm
Train stations
10 New train stations have been built at donholm, avenue park, embakasi,dandora,kikuyu,kibera,githurai, mwiki, Ruiru and Athi River.
The new train stations contain automatic ticketing and entry control systems that scan your ticket before you get access to the boarding platform.
View attachment 1580406Ruiru commuter train station
Reclaiming Land From Trespassers
Kenya railways has already reclaimed 90% all the land on the commuter rail network from traders who had encroached onto the railway.
Recently demolitions of stalls, illegal matatu termini and illegal markets was completed along outer ring road especially around the location where Taj mall once stood.
View attachment 1580407
Reclaimed corridor and track laying at the outer ring road and eastern bypass interchange heading to embakasi station
Trains
Already 5 out of the 11 commuter DMUs ordered from spain have arrived and are being repainted and inspected at the Kenya railways workshops by Kenya railways engineers and ineco engineers from spain.
CAF the manufacturers of the DMUs completed an overhaul and refurbishment of the trains and have already signed contracts to supply spare parts for 25 years and also to share with Numerical machining Complex designs of parts that will be manufactured in Kenya.
The DMU has a capacity of 300 passengers complete with docking stations for bicycles and dedicated areas on board for wheelchairs for those with disabilities.
The DMU has a maximum speed of 100 km/hr but will probably be hitting an average of 80 km/hr all across the network. They also come equipped with an automatic stop system to remotely stop the train if the driver does not follow operators instructions.
View attachment 1580411
The Commuter rail DMU in sfm colors
Train monitoring and management
A new ATC (Automatic train control) is being installed for the commuter rail. The ATC is split into three parts, Automatic Train Protection (ATP), Automatic Train Operation (ATO) and Automatic Train Supervision (ATS). The ATS system is responsible for monitoring and controlling the rail system to ensure that it conforms to an intended schedule and traffic pattern in order to optimize railway operations and service reliability.
A new and modern commuter train monitoring centre at Nairobi central station is complete and awaiting launch of the service.
The new system will be able to accomodate the current higher speed of the commuter rail and also the future traffic once double tracking of the commuter rail is started.
View attachment 1580427
The new monitoring centre at Nairobi Central station supplied by CRBC.
Greening and Beautification of the corridor.
This is yet to begin but will take place after operations have started. Kenya railways plans to plant grass and to beautify the corridor once operations have begun.
Future
The future of the commuter rail is
i) Double tracking to increase capacity,
ii) An additional 7 km line from JKIA will be built.
iii) The service will be extended to Ruai, Kangundo and other areas of Nairobi metropolitan yet to be reached and 15 more stations will be built.
iv) Mombasa (259 km) and Kisumu commuter rails are also planned by GOK and the world bank. The world bank has already committed to fund to the tune of $400 million each commuter rail network in Mombasa and kisumu
Vipi!! Lini mtatoka kwa vituko kama hii viti vya plastiki na mabati, kunguni, chawa na magonjwa
View attachment 1580835
Tazama jinsi binadamu anafaa kusafiri siyo kupangwa kama hizo gunia zenu za mihogo kwa mkokoteni.
View attachment 1580826
View attachment 1580827
View attachment 1580831
Ah!! Bana kwani pesa ni ya babako mbona machungu hivyo?!!! Pesa iliwekwa kwa Commuter rail baada ya mazungumzo na world bank. Yani vitu kwa utaratibu sio kukimbilia na kushindwa kumaliza jinsi mmezoea nyinyi.Budget ya kupulizia hewa kwenye hii mifupa ya Mkoloni aliowaachia ingetosha kujenga latest sophisticated trams lakini serikali yenu imeshawatapeli tayari 😁😁😁
Zile tram za Hungary ziliishia wapi? 😆😆😆
View attachment 1580832
Nyamaza wewe hujui unachosema kama kawaida. Ujuaji halafu ujiaibishe hapa mbele ya watu wako. kwani the new 80 lb sleepers zinawekwa wakitoa zile za 50 lb mpaka hiyo ya kibaki ikangolewa zilitoka kwa bedroom yako?Haka ni kale kareli kibaki alijenga(rehabilitate ) back in 2011. Kutoka tao kwenda syokimau na pale buru/ Hamza station.
There is nothing new here, bado ile track ya kwenda kibera ni mbaya na haina stations za maana.
Halafu bado ile ya kwenda Ruiru ( inapitia K.U) hata usiseme.
What is new is the 25 year old locomotives (DMUs) from spain.
There irony of it all is that that train after 8years does only 2 trips, 7 A.M to syoks & jioni 6pm to town.
Bado sana
====
Kibaki launches Sh400m Syokimau Rail Service
Ufaranza wanaenda kutoa seats wageuze kuwa cargo wagons wabebe mifugo, Hakuna mfarasa atapanda old diesel trainsShangaa na ufaransa pia ku purchase kutoka kw hao jamaa[emoji23][emoji23]
Dah kumbe hata hivi napo ni kwa nguvu ya mkopo? 😲😲😲Ah!! Bana kwani pesa ni ya babako mbona machungu hivyo?!!! Pesa iliwekwa kwa Commuter rail baada ya mazungumzo na world bank. Yani vitu kwa utaratibu sio kukimbilia na kushindwa kumaliza jinsi mmezoea nyinyi.
Demi linakaribia 70%, kila kitu lazima wakope, sasa hiyo kodi wanayokusanya inakwenda wapi?Dah kumbe hata hivi napo ni kwa nguvu ya mkopo? [emoji44][emoji44][emoji44]
Mimi nilijua mmejikakamua wenyewe kutokana na ufinyu wa resources ndio mkaja na hiki kituko, [emoji16][emoji16][emoji16] kumbe ni pesa ya WB? Dah mmetapiliwa kama kawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona mpaka umeamua kutafuta usaidizi unzunguni. Yenu ni bus siyo train hizo ni vitu mbili tofauti sana.Tutatoka siku hawa mabwana zenu wakitoka 😁😁😁😁
View attachment 1580841View attachment 1580842View attachment 1580843
😂😂😂😂 naona mambo yanachanganyia vizuri tu.Demi linakaribia 70%, kila kitu lazima wakope, sasa hiyo kodi wanayokusanya inakwenda wapi?
That rail can only serve watu wa Mombasa road / Jogoo rd as it has always done. Though kuna ile ya kibich (gong rd) wajaluo hufinyana kama mambuzi wakienda inda kufanyia mhindi job. Mind you Thika Rd is the largest residential area that is totally ignored.Nyamaza wewe hujui unachosema kama kawaida. Ujuaji halafu ujiaibishe hapa mbele ya watu wako. kwani the new 80 lb sleepers zinawekwa wakitoa zile za 50 lb mpaka hiyo ya kibaki ikangolewa zilitoka kwa bedroom yako?
Zungumza unachojua hii si soko ya machungwa na nyanya
Lazima, nyinyi hamukopeshwi kwa sababu mtarudi kulia musamehewe. Ndiyo maana BRT phase 2 imekwama bado ni kale kilomita 21 pekee ndiyo kana fanya kazi.Dah kumbe hata hivi napo ni kwa nguvu ya mkopo? 😲😲😲
Mimi nilijua mmejikakamua wenyewe kutokana na ufinyu wa resources ndio mkaja na hiki kituko, 😁😁😁 kumbe ni pesa ya WB? Dah mmetapiliwa kama kawa 🤣🤣🤣
Ulifikiri hizo handles kazi yake ni kuning'inizia mikungu ya ndizi? 😁😁😁Naona mpaka umeamua kutafuta usaidizi unzunguni. Yenu ni bus siyo train hizo ni vitu mbili tofauti sana.
tupo phase 3, what's phase 2 about? 🤔Lazima, nyinyi hamukopeshwi kwa sababu mtarudi kulia musamehewe. Ndiyo maana BRT phase 2 imekwama bado ni kale kilomita 21 pekee ndiyo kana fanya kazi.
Hivi tunavyozungumza World bank wamesema watatoa tena $400 million kutengeneza commuter rail ya Mombasa.
Hii ndiyo tofauti ya kuwa nchi inayoaminika kwa kulipa deni.
Hata standard chartered wameanza kufikiria mara mbili kuwapa hile mkopo ya $1.4 billion baada ya nyinyi kulia sana na kuomba word bank na IMF iwasamehe deni lenyu la Taifa.
I tell you always silence is golden, nobody will know you are a fool. Kibaki only built three stations syokimau, imara daima and Makadara and he never upgraded the line.That rail can only serve watu wa Mombasa road / Jogoo rd as it has always done. Though kuna ile ya kibich (gong rd) wajaluo hufinyana kama mambuzi wakienda inda kufanyia mhindi job. Mind you Thika Rd is the largest residential area that is totally ignored.
Matatu lazima, dirty uncivilized transport will continue to be the hallmark of the land of the drunk naked king
Huyo harudi hapa tena 😱Ulifikiri hizo handles kazi yake ni kuning'inizia mikungu ya ndizi? 😁😁😁
Kazi yake ndio hiyo sasa
View attachment 1580861View attachment 1580862View attachment 1580863View attachment 1580864
leta picha za commuter stations huko kijana. bado sana...Matatu na jam lazimaI tell you always silence is golden, nobody will know you are a fool. Kibaki only built three stations syokimau, imara daima and Makadara and he never upgraded the line.
i) Kibera and kikuyu track rehabilitation to 80 lbs, rail realignment and stations were completed in 2020.
ii) Ruiru, Buru buru, Donholm,Dandora, embakasi, Athi river, Kenyatta University stations are complete including upgrading the Nairobi-Ruiru track and the Nairobi- embakasi track sleepers to 80 lbs.
iii) Nairobi-syokimau track sleepers upgraded in 2020 to 80 lbs.
iv) Upgraded signalling systems completed in 2020
v) Automated train control systems completed in 2020
Yani kwa kichwa yako Kibaki bado 2020 ni rais wa Kenya alafu Ruiru,Mwiki, Githurai, kibera, kikuyu ziko jogoo road? Nadhani kuna madawa umesahau kumeza.