The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Alafu anajichocha eti anaweza kuaibisha mtu akibishana naye mambo ya infrastructure. Utakua fala mgani udhani hiyo picha ni ya London? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekuambia ww tulia ntakukimbiza km mbwa koko unapost uchafu ambao wenzio washapost humu na wakakimbia, nani asiyejua km roads zenu ni chafu ngj nipate mda now npo ktk majukumu ya kitaifa c unajua kesho tuna uchaguzi ss we tulia wala usijali unanijua vzr huwezi tamba kwng ww mana nina kila sababu za kuringa na nchi yng yenye modern infrastructure, ss we ngj nimalize hili jambo la msingi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]We have them in multiples while you have none.
1. Diamond interchange
2. 2 level roundabout interchange
View attachment 1614080![]()