Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Ukiniletea ushahidi kwamba pool yenu ya jukwaa moja kuingiza 5k spectators au hata 3k natoka Jf ucku huu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naona ushakubali kuwa hamna aquatic stadium in Tanzania. Congratulations.
 
Naona ushakubali kuwa hamna aquatic stadium in Tanzania. Congratulations.
Alafu kiukweli kabisa yetu ni kubwa kuliko yenu mana yetu ina jukwaa mbili nyie yenu ina jukwaa moja [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1604094548024.jpeg
 
Alafu kiukweli kabisa yetu ni kubwa kuliko yenu mana yetu ina jukwaa mbili nyie yenu ina jukwaa moja [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1616255
Wewe jamaa ebu wacha kujiaibisha hapa, Huyo sio aquatic stadium. That's just a recreational pool. Kwanza hata haina facilities za kuitwa stadium. Ebu tutajie jinake tuisearch.
 
Wewe jamaa ebu wacha kujiaibisha hapa, Huyo sio aquatic stadium. That's just a recreational pool. Ebu tutajie jinake tuisearch.
Hahahaaa we mtu wa aina gn ok tufanye hv hebu niambie hyo yenu ina kitu gn special kuizidi hii yetu au ndo km kawaida yenu "super highway" Wakenya vilaza sn na ndiyo maana mchina akawagonga back and forward [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Umekosa ushahidi wa 5k me ngj nilale ila wacha mchezo wa kuongeza sifuri ni upuuzi na kujivunjia credibility.
 
Hahahaaa we mtu wa aina gn ok tufanye hv hebu niambie hyo yenu ina kitu gn special kuizidi hii yetu au ndo km kawaida yenu "super highway" Wakenya vilaza sn na ndiyo maana mchina akawagonga back and forward [emoji3][emoji3][emoji3]
Any let me thank you posting a swimming pool of Tanganyika International Swimming Pool. Kama hao wenye waliijenga ndio wanaita swimming pool, kwani wewe ni nani uchange jina?. Alafu ulikuwa unataka kitu special? Do that swimming pool have this?
dsc_0086.jpg
 
View attachment 1616262
The guy is posting a high school swimming pool,and calling it the largest. He does not know Kasarani aquatic stadium has three pools
i) A baby pool.
ii) A normal pool like the one he posted which primary schools and high schools have.
iii) An olympic size pool, the only one in the region.

The guy does not want to accept that they are a backward country,
 
Kwasababu ww ni mkenya basi upumbavu umeumbiwa ngj nikuache na ujinga wako wa kufosi fosi mambo ila ukweli unaujua endelea kupingana na ukweli mpuuzi we.

Eti capacity ya 5000, ukiniletea ushahidi wa hyo pool yenye jukwaa moja kuingiza watu 5k natoka Jf fala wee.
Mbna mapomvu yanakutoka 😂😂😂😂 post aquatic stadium ya Tanzania Wacha kelele
 
Geza Ulole hii interview ya Kenyan transport secretary ambayo imefanyika hii wiki, is very informative kuhusu strategies zinazotumika kupunguza jam Nairobi

Nangoja uniambie jina ya hiyo aquatic stadium yenu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utangoja Hadi Magufuli atoke madarakani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The guy is posting a high school swimming pool,and calling it the largest. He does not know Kasarani aquatic stadium has three pools
i) A baby pool.
ii) A normal pool like the one he posted which primary schools and high schools have.
iii) An olympic size pool, the only one in the region.

The guy does not want to accept that they are a backward country,
Mbna mapomvu yanakutoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] post aquatic stadium ya Tanzania Wacha kelele
Wacha ubishi bana post aquatic stadium ya Tanzania uwache upambavu
Mbn ninyi watu ni wajinga hivi, sasa hilo c ni jina tu ukiamua unaweza ita vyovyote but quality ni ile ile, hiyo pool yenu ya jukwaa moja imehost mashindano gani ya kimataifa? Ok nasubiri mniambie ina accommodate watu wangapi ili nijue hyo ni stadium au ni utopolo, niambie ina capacity gn wapuuzi nyie, mnaita ita majina vitu bila kujua maana yake, nimewaambia yetu ina jukwaa mbili maana yake ina uwezo wa ku accommodate spectators wengi kuliko yenu, ss mniambie yenu ina capacity gn?
 
Mbna mapomvu yanakutoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] post aquatic stadium ya Tanzania Wacha kelele
Msaidie mwenzako mniambie ina uwezo wa kubeba watu wangapi hiyo stadium yenu yenye jukwaa moja [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mbn ninyi watu ni wajinga hivi, sasa hilo c ni jina tu ukiamua unaweza ita vyovyote but quality ni ile ile, hiyo pool yenu ya jukwaa moja imehost mashindano gani ya kimataifa? Ok nasubiri mniambie ina accommodate watu wangapi ili nijue hyo ni stadium au ni utopolo, niambie ina capacity gn wapuuzi nyie, mnaita ita majina vitu bila kujua maana yake, nimewaambia yetu ina jukwaa mbili maana yake ina uwezo wa ku accommodate spectators wengi kuliko yenu, ss mniambie yenu ina capacity gn?
Wacha kelele post Tanzania aquatic stadium Kama hakuna Sema tusonge kwa mada nyingine hakuna mwenywe ata kupiga
 
Back
Top Bottom