Huyo
The best 007 huwa hakubali kushindwa. Lazima yeye ndio ashinde kwa sababu anajiona yuko perfect. Nimemsoma kwa muda mrefu. Sijawahi kuona siku hata moja akikubali kwamba hakuwa anajua jambo fulani au kwamba amejifunza jambo fulani kutoka kwa Wakenya. La. Yeye likija kwenye debate, utamuekea hadi evidence kutoka world bank na atapinga tu. Sasa nimemuekea evidence kutoka bodi ya serikali na bado anapinga. Huyo na
Naton Jr hakuna haja ya kudebate nao maana unapoteza muda wako tu. Huwa nikidebate na Geza Ulole au joto la jiwe angalau hao wanaweza kukubali kuwa hawakuwa wanafahamu jambo fulani halafu debate inaisha. Mimi pia huwa nakubali kama sikuwa najua jambo fulani halafu debate inaisha. Mimi sio genius kwa hivyo ikiwa sijui jambo fulani basi nakubali tu na debate inaisha. Lakini kupingana na mtu mwenye anajiona yuko right wakati wote ni majanga. Huwa ninaangalia ni watu gani ninadebate nao hapa maana wengine watanipotezea muda tu na hata baada ya kung'ang'ana kutafuta evidence mtandaoni bado watabaki kuamini wanachotaka. Hio ni kazi bure and time is precious. I only deal with the reasonable Tanzanians who can admit when they are wrong. But hao wazimu ambao hawaezi kubali kuwa wamekosea, hao sina haja nao.
ichoboy01 pia yuko katika kundi hili la watu wasioweza kukubali kushindwa japo evidence ni ya world bank au halmashauri ya serikali.