The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Elimu Elimu Elimu, imetusaidia sana cc WaTz, ona watu tumekuwa na commuter train miaka mingi iliyopita na wala rais hajawahi kuzindua cz ni kitu cha kawaida mno na ni haki ya mwananchi, yn kabla ya Magu kuwa president watu tuko na ustaarabu huu, ona matumizi sahihi ya Elimu yalivyomkomboa mTz [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]