Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Yes the commuter rail will be the backbone of transport in Nairobi and BRT will be a feeder network only taking passengers to and from train stations.

They will also be integrated like trains and buses in europe so that once you pay for the train, the same ticket will also be used on BRT buses to your final destination.

It'll be easy if they will use the monthly recharged card. That's the experience in Europe and America.
 
Nyie mafala mbn mpo kmy humu kwa huu uzi? Au ndo mshauzoea mtumba ndo mnagundua kuwa mlipigwa, yn karne ya 21 bado mnanunua mitumba!! WTF, hebu oneni the most developed country in EA[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji205][emoji205]View attachment 1636919View attachment 1636920View attachment 1636921View attachment 1636922View attachment 1636923View attachment 1636924View attachment 1636925
Kama mnatajwa na Lagos Nigeria then the list is flawed😂😂😂., not the best public transportation, but nchi zenye brt buses. Kuna tofauti sana! And it is an opinionated piece, mzembe hadi kufanya utafiti mwafaka hauwezi😂😂😂😂 no mental frame kama kawaida, cant think zaidi ya pua lako.
 
Tz haijwahi na haitowahi kushindana na nchi yyte ya Africa, cc lengo letu ni kuwa km Europe, ss tuanze kushindana na nchi yenye maslums kuliko nchi zote duniani ili tugundue nn kwa mfano [emoji3][emoji3][emoji205][emoji205][emoji205][emoji113]
😂😂😂jamaa ni wazimu imekuingia ama nini! eti Europe na bado hamtoshi average standards of living ya akina Zambia, Ghana, Botswana etc. Ethiopia imepunguza masikini wakutupwa nyie mnaongeza!! Kichaa😂😂 na hilo halitapungua! Take it to the bank! Dar is the epicentre of poverty in EAC, a sprawling low life standard city!, siku gani it will transform? The thing is becoming like Lagos kila uchao, hakuna city in Tz nje ya Dar ama miji za maana(mnalazimisha kuyaita city hayo masoko kama akina Mwanza), watu wote wanakimbilia Dar kutafuta maisha! No wonder u are clocking 6 million slum (poor confused residential) dwellers.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa ni wazimu imekuingia ama nini! eti Europe na bado hamtoshi average standards of living ya akina Zambia, Ghana, Botswana etc. Ethiopia imepunguza masikini wakutupwa nyie mnaongeza!! Kichaa[emoji23][emoji23] na hilo halitapungua! Take it to the bank! Dar is the epicentre of poverty in EAC, a sprawling low life standard city!, siku gani it will transform? The thing is becoming like Lagos kila uchao, hakuna city in Tz nje ya Dar ama miji za maana(mnalazimisha kuyaita city hayo masoko kama akina Mwanza), watu wote wanakimbilia Dar kutafuta maisha! No wonder u are clocking 6 million slum (poor confused residential) dwellers.
Tanzania is the most urbanized country in East and Central of Africa, utake usitake [emoji2][emoji2]
 
Effects of devolution. In Kenya everything that is in the city are available in rural as well.
Hahaha, imekuuma sana kusikia 30% ya watanzania wanaishi urban areas while Kenya is only 20%[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ziko wapi hizo cities zenye munaishi?
Hahaha, hivi wakenya huwa shule mnafundishwa nini?, mimi huwa ninawashangaa sana kwakweli, mbona hamna akili kiasi hiki?,wazungu wamewaathiri sana kisaikolijia, ninyi mtu akizingumza kiingereza ndio mnadhani ameenda shule.

Unajua maana ya neno Urban?, hivi kwa ujinga wako unadhani neno urban = City[emoji23][emoji23], ninyi ni watu wajinga sana, mbona vichwa vyenu vimekufa kiasi hicho, kwa hiyo watu wanaoishi towns kama Kericho, Moshi, Thika na Morogoro ambazo sio cities, kwako wewe hao sio urban population?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo sasa ndio nilitaka ufike. Statistics zenu hata vijiji vidogo munaviita urban areass halafu munaona muko urbanized. Alafu hizo statistics zako uchwara sana. Nairobi metro pekee population yake ni 6.5M, Mombasa Metro ni 3.5M, total ni 10M already hiyo ni 21% of Kenya's population bado hata sijaongeza Kisumu, Nakuru, Eldoret ambazo zote zinatoshana na mji wenu wa pili Mwanza. Sijaongeza Naivasha, Kakamega, Meru, Machakos, Kisii, Kitale, Embu, Lodwar, Narok, Garissa, Chuka, Bungoma, Kitui et al. Sasa nikiongezi vijiji kama munavyoongeza huko bongo si nitasema population ya Kenya ni 70% Urban?
 
Nioneshe hyo 6.5milioni ya wakazi wa Nairobi [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hapo sasa ndio nilitaka ufike. Statistics zenu hata vijiji vidogo munaviita urban areass halafu munaona muko urbanized. Alafu hizo statistics zako uchwara sana. Nairobi metro pekee population yake ni 6.5M, Mombasa Metro ni 3.5M, total ni 10M already hiyo ni 21% of Kenya's population bado hata sijaongeza Kisumu, Nakuru, Eldoret ambazo zote zinatoshana na mji wenu wa pili Mwanza. Sijaongeza Naivasha, Kakamega, Meru, Machakos, Kisii, Kitale, Embu, Lodwar, Narok, Garissa, Chuka, Bungoma, Kitui et al. Sasa nikiongezi vijiji kama munavyoongeza huko bongo si nitasema population ya Kenya ni 70% Urban?
Sasa wewe hupaswi kutulilia sisi, nenda peleka malalamiko yako huko UNDP na World Bank ambao wametoa hizo data, sio Tanzania iliyosema kwamba Urbanization Tanzania ni 30% na Kenya ni 20%, punguza wivu[emoji23][emoji23][emoji23].

Mimi nilichojaribu kukuelewesha na kukuelimisha ni pale ulipouliza "Hizo cities zenu zipo wap?", kwa ujinga wenu na uwezo wenu mdogo wa kufikiria ambao hadi leo mumeshindwa kujitosheleza kwa chakula mnategemea misaada, ndio uliokusababisha kuuliza Cities zenu ukidhani kwamba bila cities hakuna "urbanization"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nionyeshe cities Buda. Acha kelele. Ziko wapi? Alafu unionyeshe hiyo data yako ya UNDP. Acha kutoa data kwa matako ukidanganyia UNDP.
 
Back
Top Bottom