Nairobi dry land depot not meant for Uganda

Kwa mahesabu ya haraka within 5 years reli itakuwa imefika Uganda ??
 
SGR ya TZ ni tishio sana kwa Kenya. Pigo kubwa sana kwa uchumi wa kenya hasa ktk sekta ya transportation. Tunakwenda kuchukua soko la Uganda, Rwanda, Burundi na Congo. Huku kusini (Zambia, Malawi na Congo ya Kusini? hatuna haraka hawana ujanja wa kukimbilia zaidi ya Tanzania.
 
Sasa wewe unaongelea Kisumu. Sisi tutakuwa tunafikisha Mawanza ikibidi Portbell cause meli ya umoja imeshatengenezwa
Distance ya kisumu ni mbali sana. Pili kuhusu Rwanda msahau cause Kagame he is not interested with that route
Mimi hapa ndiyo saa zingine naona kama tuna discuss na vichaa! Unakuta mtu ni member wa muda na mmesha discuss issue kwa mapana ila ikija thread nyingine anajisahaulisha ambacho mlisha wahi kujadili.

Mfano distance ya Dar to Rw ni fupi kuliko ya Msa to Rw. Political will imesha onyeshwa na Magu na Kagame, Rail kutoka Dar to Rw imesha anza kujengwa, kipande cha Rw wanategemea kuanza ujenzi mwishoni mwa mwaka huu. Kila lisaa limoja train ya Tz itakua ina enda 40km zaidi leave alone the shorter distance. Efficiency ya Dar port imeongezeka maradufu as we speak more than 90% ya Rw cargo inapita Dar. 400m usd zinatumika ku expand Dar port at the moment. Panamax ships zitaweza ku dock Dar port by 2020. Ila lina kuja lijitu lina tapa eti Congo+Rw+Burundi goods zitapita Msa!! Sishangai sana maana mpaka sasa hivi kuna wengine wana kwambia watakwapua pipeline kutoka Ug! Kenyans its high time you do a reality check up. TZ is f****g u up sideways
 
Planning is the most important part of a succesful country. Rwanda is planning to extend SGR, UG is also planning to have an SGR.
Only fools dont plan, failure to plan is planning to. fail
and in ur hate filled mind, Kenya has no plans and the ones actualized don't matter because tanzania is planning?? I hope u don't have kids because ur stupidity cannot be allowed to spread beyond ur sorry self.
 
Hawa jamaa tumesha anza kuwanyorosha.
Hamstere na wenzake kwa sasa wanazungusha bakuli kwa Mike SonkoπŸ˜€πŸ˜€
 
GEZA ULOLE. I am 100% sure
 
World Bank ikotiyali ku finance kipande cha SGR kutoka Isaka Tanzania hadi Kigali Rwanda
 
Rwanda Rwanda Rwanda Rwanda Rwanda. Wacha makelele. Rwanda is an $8 Billion economy. That is half of our budget. Endelea kupiga mdomo.
 
Rwanda GDP
The Gross Domestic Product (GDP) in Rwanda was worth 8.38 billion US dollars in 2016. The GDP value of Rwanda represents 0.01 percent of the world economy. GDP in Rwanda averaged 2.15 USD Billion from 1960 until 2016, reaching an all time high of 8.38 USD Billion in 2016 and a record low of 0.12 USD Billion in 1961.
Rwanda GDP
GDP Growth Rate
GDP Annual Growth Rate
GDP
Gross Fixed Capital Formation
GDP per capita
GDP per capita PPP
GDP Constant Prices
Gdp From Agriculture
Gdp From Construction
Gdp From Manufacturing
Gdp From Mining
Gdp From Public Administration
Gdp From Services
Gdp From Transport
Rwanda GDP
The gross domestic product (GDP) measures of national income and output for a given country's economy. The gross domestic product (GDP) is equal to the total expenditures for all final goods and services produced within the country in a stipulated period of time. This page provides the latest reported value for - Rwanda GDP - plus previous releases, historical high and low, short-term forecast and long-term prediction, economic calendar, survey consensus and news. Rwanda GDP - actual data, historical chart and calendar of releases - was last updated on April of 2018.
Actual Previous

Rwanda GDP | 1960-2018 | Data | Chart | Calendar | Forecast | News
 
Rwanda Rwanda Rwanda Rwanda Rwanda. Wacha makelele. Rwanda is an $8 Billion economy. That is half of our budget. Endelea kupiga mdomo.
Kuna sehemu niliona una jiita mchumi kama sija kosea! Sasa 8b usd unaona ni ndogo! In 30 yrs time itakua ngapi? Remember Rw is one of the fastest growing economy in the world and miundombinu ya reli inajengwa kwa matumizi ya more than 100 years to come. I wish mngesema this from the start siyo baada ya kukaribia finishing line.
 
nimesoma haya maelezo nimecheka sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Rwanda Rwanda Rwanda Rwanda Rwanda. Wacha makelele. Rwanda is an $8 Billion economy. That is half of our budget. Endelea kupiga mdomo.
so wewe unategemea uganda tutawaachia hvi hvi tulianza na oil pipeline sasa tunakuja kukamilisha somoπŸ˜€πŸ˜€
 
and in ur hate filled mind, Kenya has no plans and the ones actualized don't matter because tanzania is planning?? I hope u don't have kids because ur stupidity cannot be allowed to spread beyond ur sorry self.
Kenya Does not Plan, it schemes dubious ways of fleecing taxpayers. SGR was not a plan but a scheme to make money through corruptionπŸ˜€
 

Kutokana na ufanisi wa Bandari yetu pamoja na SGR itafikia kipindi mpaka kenya wenyewe wataanza kupitishia mizigo Dar. Uganda, Rwanda, Burundi, Congo, Zambia, malawi na Zimbabwe hawa wetu mpaka sasa na hatuna mpinzani. Mungu mbariki JPM amalizie SGR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…