So?now you have only two over 35 fls,we have one.
Go Google 🔎Cost ya dreamliner 787 ni ngapi?
now you have only two over 35 fls,we have one.
harafu mbona demo na site hazifanani kabisa,tatizo nini??Tihahahhaaaaa. Blind mice of Dar I a slum
Sawa.uache kukatika.
Point of correction please!. Don't even think of that word 'overtaking', more so by where again?, Dar?. May be unless if Nai remains at standstill for more than like two decades or so. If you ask me, upper hill has already outdone the original CBD.I told them it will take years for Dar es saalam to overtake Nairobi vertically.
harafu mbona demo na site hazifanani kabisa,tatizo nini??
Tazama from another angle, bado haijakamilika na inaonekana sawa kabisa!harafu mbona demo na site hazifanani kabisa,tatizo nini??
Wewe ndio umeharibu kabisa.Jifunze kuandika Kiingereza kwa usahihi. Unajidhalilisha.
Wacheni dreamliner. Sielewi vipi mtatumia pesa nyingi kununua kibuyu kinachopaa angani ambacho hakiongezi manufaa yoyote katika uchumi wa Tanzania. Watanzania wangapi huenda Mumbai? Eti mnasema dreamlimer yenu itakuwa inaenda Mumbai, lazima itakosa wateja tu. Afadhali mngejenga barabara, kila mtu angelitumia tajiri na masikini wote. Lakini kibuyu cha chuma, matajiri pekee ndio wanaoweza kulitumia.Wewe ni kenge
Ulitaka JPM ajenge magorofa? Tofautisha kati ya kazi ya investors na kazi ya serikali
Hilo jengo hata cost ya dreamliner moja tu haifiki
$239 mln na hi project ya avic itacost over $300ml baada ya upgrade, huyo mpuuze tu kazi yake nikueneza propaganda za ccm.Cost ya dreamliner 787 ni ngapi?
Yeah alikuwa anajaribu kuchocha hapa$239 mln na hi project ya avic itacost over $300ml baada ya upgrade, huyo mpuuze tu kazi yake nikueneza propaganda za ccm.
Yrs gan wkt ndio mmeamka sahvI told them it will take years for Dar es saalam to overtake Nairobi vertically.
Acha upumbavu wako wewe.Wewe ndio umeharibu kabisa.
Mawazo ya kitoto kabisa hayaWacheni dreamliner. Sielewi vipi mtatumia pesa nyingi kununua kibuyu kinachopaa angani ambacho hakiongezi manufaa yoyote katika uchumi wa Tanzania. Watanzania wangapi huenda Mumbai? Eti mnasema dreamlimer yenu itakuwa inaenda Mumbai, lazima itakosa wateja tu. Afadhali mngejenga barabara, kila mtu angelitumia tajiri na masikini wote. Lakini kibuyu cha chuma, matajiri pekee ndio wanaoweza kulitumia.
Dreamliner $224.6M =Tsh 500bln$239 mln na hi project ya avic itacost over $300ml baada ya upgrade, huyo mpuuze tu kazi yake nikueneza propaganda za ccm.
How old is your mom??? MWacheni dreamliner. Sielewi vipi mtatumia pesa nyingi kununua kibuyu kinachopaa angani ambacho hakiongezi manufaa yoyote katika uchumi wa Tanzania. Watanzania wangapi huenda Mumbai? Eti mnasema dreamlimer yenu itakuwa inaenda Mumbai, lazima itakosa wateja tu. Afadhali mngejenga barabara, kila mtu angelitumia tajiri na masikini wote. Lakini kibuyu cha chuma, matajiri pekee ndio wanaoweza kulitumia.
Dreamliner yetuDreamliner $224.6M =Tsh 500bln