Nairobi Global Trade Centre. The Chinese are doing a fantastic job

I told them it will take years for Dar es saalam to overtake Nairobi vertically.
Point of correction please!. Don't even think of that word 'overtaking', more so by where again?, Dar?. May be unless if Nai remains at standstill for more than like two decades or so. If you ask me, upper hill has already outdone the original CBD.
 
harafu mbona demo na site hazifanani kabisa,tatizo nini??
Tazama from another angle, bado haijakamilika na inaonekana sawa kabisa!
vnzlMJXh.jpg
42526892374_002418d836_o.jpg
 
Wewe ni kenge
Ulitaka JPM ajenge magorofa? Tofautisha kati ya kazi ya investors na kazi ya serikali
Hilo jengo hata cost ya dreamliner moja tu haifiki
Wacheni dreamliner. Sielewi vipi mtatumia pesa nyingi kununua kibuyu kinachopaa angani ambacho hakiongezi manufaa yoyote katika uchumi wa Tanzania. Watanzania wangapi huenda Mumbai? Eti mnasema dreamlimer yenu itakuwa inaenda Mumbai, lazima itakosa wateja tu. Afadhali mngejenga barabara, kila mtu angelitumia tajiri na masikini wote. Lakini kibuyu cha chuma, matajiri pekee ndio wanaoweza kulitumia.
 
Mawazo ya kitoto kabisa haya
 
$239 mln na hi project ya avic itacost over $300ml baada ya upgrade, huyo mpuuze tu kazi yake nikueneza propaganda za ccm.
Dreamliner $224.6M =Tsh 500bln
 
what's so special about avic towers au kisa zimejengwa sehemu moja ?
Dar kuna 10 towers above 30flrs ,nahisi nyie ndo mmeamshwa na mchina kaanza kujenga hyo, maana mlikuwa na britam, uap na prism
TPA Above 35
Pspf A above 35
Pspf B above 35
Mzizima A above 35
Mzizima B 33
PPF hq 36
MNF A 30
MNF B 30
Rita 30
Lapf 30
 
Wacheni dreamliner. Sielewi vipi mtatumia pesa nyingi kununua kibuyu kinachopaa angani ambacho hakiongezi manufaa yoyote katika uchumi wa Tanzania. Watanzania wangapi huenda Mumbai? Eti mnasema dreamlimer yenu itakuwa inaenda Mumbai, lazima itakosa wateja tu. Afadhali mngejenga barabara, kila mtu angelitumia tajiri na masikini wote. Lakini kibuyu cha chuma, matajiri pekee ndio wanaoweza kulitumia.
How old is your mom??? M
 
Back
Top Bottom