Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 10,494
- 9,854
Anza kulipa madeni, musije mkasamehewa tena mara ya tatu sasa., itakua ni aibu. Yani mulisamehewa madeni, hiyo ni dharau.That's only one Bombardier (pangaboi) [emoji4][emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza kulipa madeni, musije mkasamehewa tena mara ya tatu sasa., itakua ni aibu. Yani mulisamehewa madeni, hiyo ni dharau.That's only one Bombardier (pangaboi) [emoji4][emoji4]
Masikini hananga aibu atakunyooshea kibakuli tu. Theuy live like animals day by day hakuna cha kufikiria kesho.Anza kulipa madeni, musije mkasamehewa tena mara ya tatu sasa., itakua ni aibu. Yani mulisamehewa madeni, hiyo ni dharau.
Anza kulipa madeni, musije mkasamehewa tena mara ya tatu sasa., itakua ni aibu. Yani mulisamehewa madeni, hiyo ni dharau.
Global analysts rank Kenya debt fifth highest in AfricaMasikini hananga aibu atakunyooshea kibakuli tu. Theuy live like animals day by day hakuna cha kufikiria kesho.
Youve just oppened a Pandoras box...take a taste of your own stupidity
🇨🇳 Chinese community donate 144 tonnes of food aid to Kenya's drought victims - Xinhua | English.news.cnYouve just oppened a Pandoras box...take a taste of your own stupidity
Poverty is an issue in Tanzania, too, which is number 8 with $11,180,000,000 of debt. The Global Hunger Index Score in Tanzania is the second worst of any other country in the east African community. The Top spot is taken by South Africa, which has $137,500,000,000 of debt and high levels of poverty despite being an Upper Middle Income economy
Global Hunger Index
![]()
Tzn na ccm wana akili za kindezi sana hiyo pesa inauma kununulia mapipa yasiyo na faida.Yaani kwa hizo pesa unazungumzia zaidi ya km400 za barabara maji kutoka Victoria hadi Tabora na miradi mingi yenye tija na kuboresha maisha ya mwananchi ya GDP..Dreamliner $224.6M =Tsh 500bln
Mazingira ya uwekezaji kwa sekta binafsi yamekuwa horrible ndio maana hakuna miradi yeyote ya sekta binafsi hasa ya majengo,serikali iko bize na miradi ya kupendezesha macho lakini haina maana ikiwemo sgr ndege uwanja choto kuhamia Dom etc huku kipato cha mtu mmja mja kikizidi kudidimia.Mambo mazuri mengi kama sio yote anayozindua magu yalifanywa na jk.wakenya watatuacha sanaWabongo wenzangu, turudini vijiweni hawa Wakenya hatuwawezi hata kidogo. Hivi ni Jengo gani lipya tunajenga pale Dar? Tuko stagnant kwa sasa na sioni dalili.