Alvin A.
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 2,865
- 3,633
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umetembea Nairobi? Unplanned settlements(pamoja na slums) ni chini ya 2% ya ardhi ya Nairobi. Upande wa pili Dar 95% ni uplanned, yaani nyumba za ovyo zimejengwa bila mpangilio wowote. Nyumba ndio usiseme, ukifika uwanja wa fisi, tandale ni mwendo wa 2 piece kuta za udongo na 1 piece kofia ya mabati chakavu.
We boya kinouma