Nairobi International Agriculture Show September 2022

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Nakushauri kama unanafasi na kama uchaguzi wa Kenya utaenda vyema, basi hudhuria maonyesho ya Kilimo ya Nairobi, hakika hutajuta kamwe, Ni Very Organized ukilinganisha na hizi Nane nane zetu.

Unaweza anzia safari Arusha na ukaenda mapema sana na kurudi kulala Arusha, unaweza jifunza vitu hasa kwenye hii industry ya Kilimo.
 
Hata mimi nashauku sana maana naona kama wako mbele yetu sana tuombe Mungu tu mwaka huu na mimi nitaenda aisee
 
September nadhani mkataba wangu utakuwa umeisha na pesa ya mafao nitakuwa nayo kibindoni, itabidi niende kujionea kinachoendelea duniani tukamate fursa mkuu.

Ahsante kwa taarifa...!
 
Nakushauri kama unanafasi na kama uchaguzi wa Kenya utaenda vyema, basi hudhuria maonyesho ya Kilimo ya Nairobi, hakika hutajuta kamwe, Ni Very Organized ukilinganisha na hizi Nane nane zetu.

Unaweza anzia safari Arusha na ukaenda mapema sana na kurudi kulala Arusha, unaweza jifunza vitu hasa kwenye hii industry ya Kilimo.
Dondoo za hayo maonyesho tafadhali?
 
Kama zipi? Yale Maonyesho wao wanakuwa na Section kibao, kuna ya Ng'ombe wa maziwa, kuna ya Mbuzi, kuna Kondooo, kuna kuk, kuna sijui Sungura, kuna kwenye kilimo.

Kuna Mabanda ya Techinolojia,

Banda kama.la Jomo Kenyata University of Agriculture and Techinology ukifika kwenye banda lao hutataka kutoka kabisa, bado Banda la Magereza aiseee wale ndo Mwisho wa Matatizo kwa ubunifu aiseee,
 
Nadhani ingewezekana tujuane tuende kwa pamoja wadau
Huko uliko labda, ila ni bado sana labda ikifika mwezi wa 8 mwishoni ndo tutajua anaye kwenda, ila safari inazia Arusha na ni kwenda na kurudi,
 
Back
Top Bottom