Nairobi International Agriculture Show September 2022

Nairobi International Agriculture Show September 2022

Hata mimi nashauku sana maana naona kama wako mbele yetu sana tuombe Mungu tu mwaka huu na mimi nitaenda aisee
Msisahau kila mwaka njaa inawaandama, aaafu hao unaowazarau ndo wanawalisha. Kilimo sio mbwe mbwe za maonyesho bali jitihada halisi shambani.
 
Msisahau kila mwaka njaa inawaandama, aaafu hao unaowazarau ndo wanawalisha. Kilimo sio mbwe mbwe za maonyesho bali jitihada halisi shambani.
Kws hio unashauri wasiende? Yaani ukiona watu wana organise trip unaimia sana? acha wivu kwani wanaenda kwa michango yako?
 
Msisahau kila mwaka njaa inawaandama, aaafu hao unaowazarau ndo wanawalisha. Kilimo sio mbwe mbwe za maonyesho bali jitihada halisi shambani.
Kenya wapo mbali sana wanazalisha maziwa kwa kiwango cha juu sana,Wana ng'ombe Bora sana wa maziwa,wanafanya kilimo kwa njia za kisasa sana,wanazalisha matunda maua na mboga wanauza sana Ulaya.
Inawezekana hayo mazao wanayonunua Tanzania kwao hayakubali sana au wanakabiliwa sana na ukame.
 
Msisahau kila mwaka njaa inawaandama, aaafu hao unaowazarau ndo wanawalisha. Kilimo sio mbwe mbwe za maonyesho bali jitihada halisi shambani.
Ndivyo unavyo jipa moyo? Hahaa, Kule kuna mambo mengo ya kujifunza, kuna Waisralei wanakuwepi na Techinolojia zao, Kuna Waturuki, kuna Wahindi na kadhalika, kuna techinolojia za ufugaji, kililo. Pia Kenya si kwamba hawalimi mahindi wanalima mno sana, sema wanalishia Ng'ombe, wanatengeneza Silage,
 
Kws hio unashauri wasiende? Yaani ukiona watu wana organise trip unaimia sana? acha wivu kwani wanaenda kwa michango yako?
No sio wivu ila Watanzania wengi wanatabia ya kudharau vyao na kutukuza vya wageni.
 
Huko uliko labda, ila ni bado sana labda ikifika mwezi wa 8 mwishoni ndo tutajua anaye kwenda, ila safari inazia Arusha na ni kwenda na kurudi,

Sawa kiongozi hivi sisi tunahitajika kuwa na passport
 
Nakushauri kama unanafasi na kama uchaguzi wa Kenya utaenda vyema, basi hudhuria maonyesho ya Kilimo ya Nairobi, hakika hutajuta kamwe, Ni Very Organized ukilinganisha na hizi Nane nane zetu.

Unaweza anzia safari Arusha na ukaenda mapema sana na kurudi kulala Arusha, unaweza jifunza vitu hasa kwenye hii industry ya Kilimo.
Serikali ya awamu ya 6 itaanzisha maonesho ya Nanenane ya Kimataifa.

Kwa hiyo stay tuned 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220531-131627.png
    Screenshot_20220531-131627.png
    169.3 KB · Views: 42
Uchahuzi umeisha, hoppe mambo yataenda sawa na Maonyesho ni mwezi ujaobwa 9, kwa wanao enda sawa
 
Back
Top Bottom