CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Hata mimi nashauku sana maana naona kama wako mbele yetu sana tuombe Mungu tu mwaka huu na mimi nitaenda aiseeNakushauri kama unanafasi na kama uchaguzi wa Kenya utaenda vyema, basi hudhuria maonyesho ya Kilimo ya Nairobi, hakika hutajuta kamwe, Ni Very Organized ukilinganisha na hizi Nane nane zetu.
Unaweza anzia safari Arusha na ukaenda mapema sana na kurudi kulala Arusha, unaweza jifunza vitu hasa kwenye hii industry ya Kilimo.
Dondoo za hayo maonyesho tafadhali?Nakushauri kama unanafasi na kama uchaguzi wa Kenya utaenda vyema, basi hudhuria maonyesho ya Kilimo ya Nairobi, hakika hutajuta kamwe, Ni Very Organized ukilinganisha na hizi Nane nane zetu.
Unaweza anzia safari Arusha na ukaenda mapema sana na kurudi kulala Arusha, unaweza jifunza vitu hasa kwenye hii industry ya Kilimo.
Unataka kwenda au kumchosha mtoa maada?Dondoo za hayo maonyesho tafadhali?
Ni maonyesho makubwa sana na very OrganiseHata mimi nashauku sana maana naona kama wako mbele yetu sana tuombe Mungu tu mwaka huu na mimi nitaenda aisee
Inategemea..Unataka kwenda au kumchosha mtoa maada?
Jamhurumi Park unapajua? Ndiko huko yanako Fanyikia, ni nje kidogo ya Jiji la Nairobi,Yanafanyikia viwanja/eneo gani huko Nairobi na tarehe gani
Ok, shukrani..Jamhurumi Park unapajua? Ndiko huko yanako Fanyikia, ni nje kidogo ya Jiji la Nairobi,
Huko uliko labda, ila ni bado sana labda ikifika mwezi wa 8 mwishoni ndo tutajua anaye kwenda, ila safari inazia Arusha na ni kwenda na kurudi,Nadhani ingewezekana tujuane tuende kwa pamoja wadau
KabisaLazima niende kujifunza kitu kwa hawa wenzetu.