Nairobi..... Jiji la wanawake wenye sura chachu

Tokea lini umeanza kulamba/kuonja sura za wanawake wa Nairoberry?
 
Unajisikiaje sasa baada ya kushare information hii online?
 
yaani huu mji ukiona mwanamke mzuri jua fika kuwa huyo ni foreigner.

true, tz inaongoza kwa wanawake wazuri afrika ya mashariki,....fikiria tu ukipita uswahilini tz utakuta wadada hot kibao, na hapo hujaenda mjini unlike kwa wenzetu ambako mjini tu ndo unaweza kukutana na wadada wazuri na warembo.
 
wacha uongo wewe bongo hamna warembo bwana
 
sasa ungeweka picha za hao chachu na hao wageni tuone tofauti....lakini naamini kwamba wakenya wapo wazuri sana hapo nairobeee
 
kha! Uko Nairobi pande ya wapi? Korogosho, Kibera au Mathare!

Mbona unataja sehemu zilizochoka hivyo...wapi Westlands, Hurlingham, Kileleshwa, Lenana n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…