Nairobi kama mtoni

Nairobi kama mtoni

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
20101113104359_sagging.jpg
 
mwana huu mzigo.. noma! natamani nione sura yake imekaaje
 
Uyu nae ni kwa mfano wake muumba?
Nyuma ni mwendo wa plasta
 
jamani twajidanganya tu, kumbe binadamu atisha, back to origin of Sokwes
 
angekuwa ndugu/dada yako je? ungetundika picha yake hadharani?
 
Nelson Mandela katika kitabu chake "Long Walk to Freedom" anasimulia walipokamatwa na makaburu katika ile kesi iliyomfunga kifungo cha maisha, siku ya kwanza kuingizwa mahabusu walilazimishwa kuvua nguo zote. Anasema alishindwa kujizuia kucheka alipowaona viongozi wenzake wa ANC wakiwa uchi, kumbe ni tofauti sana na wanapokuwa kwenye zile 3-piece suits! Akaandika "clothes make the man!"

Imagine yule mzee aliyewaita wenzie 'kokoto' pale Jangwani unadhani akivua nguo zote atafananaje?
 
Back
Top Bottom