Nairobi katika uhalisia wake, inapendeza na kumeremeta

Nairobi katika uhalisia wake, inapendeza na kumeremeta

Dar is Slum ndio inapendeza zaidi. Aerial view. [emoji23]
1854336_5402161425_111359aabd_b.jpg
 
Weka video tujionee, wacha kuweka picha zilichukuliwa 10Km high, hatuoni kitu chochote. Weka video tuone kinachoendelea ardhini.Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Dar is Slum hiyo! [emoji1] Huoni chochote kwasababu huko chini ni full vurugu hamna mpangilio wowote, paa zote ni full kutu. Hebu tafuta picha ya aeriel view ya Nairobi ujionee jiji ambalo limepangwa likapangika. Video za Drone view: Dar bado sana. Dar es salaam drone view. Nairobi drone view.
 
Ligi kila siku. Hadi siku ya krismasi. Tabia gani hii?
Hehe! 😀 Ana stress wakati wa krismasi. Haamini kwamba mwaka umeisha na kiboko alichotuambia tutachapwa mwakani bado tunakingoja. [emoji1] Naona analinganisha aeriel view ya sehemu flani Nairobi na street view ya Dar kwasababu hataki aibu za aeriel view ya Dar is Slum. Ngoja nimvuruge kidogo alafu nimuache na stress zake za ligi. 😎
 
Ndio Dar is Slum hiyo! [emoji1] Huoni chochote kwasababu huko chini ni full vurugu hamna mpangilio wowote, paa zote ni full kutu. Hebu tafuta picha ya aeriel view ya Nairobi uone jiji ambalo limepangwa likapangika. Video za Drone view: Dar bado sana!
Dar es salaam drone view.
Nairobi drone view.
Dar es Salaama- Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehe! 😀 Ana stress wakati wa krismasi. Haamini kwamba mwaka umeisha na kiboko alichotuambia tutachapwa mwakani bado tunakingoja. [emoji1] Naona analinganisha aeriel view ya sehemu flani Nairobi na street view ya Dar kwasababu hataki aibu za aeriel view ya Dar is Slum. Ngoja nimvuruge kidogo alafu nimuache na stress zake za ligi. 😎
Wewe unakichaa?, sijaketa aerial view hata moja, nimefungua Uzi kwa kuweka " Driving in streets of Nairobi " na video ya "bike in the streets of Dar es Salaam, wewe kwa kupanic baada ya kuona barabara za Nairobi, ndio ukaweka aerial view ya Dar.

Enjoy " the beauty of Dar es Salaama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That is downtown third world Nairobi., Dar is worse!!!

Back
Top Bottom