Nairobi katika uhalisia wake, inapendeza na kumeremeta

Nairobi katika uhalisia wake, inapendeza na kumeremeta

emdwb7dwkaadpb6.jpg
emcv9erw4aa6jqd.jpg
hii ndio nini[emoji23][emoji23][emoji23]

yaani hata kinyoosha hiyo mistari mpaka mpewe rushwa.
 
Inaitwa sanaa, kuelewa vitu kama hivyo, kwa mtu kama wewe, itakuwa ni kizungumkuti na kibarua kigumu mno.
ELvXctkXsAABGLv.jpg:small
EMSqrjXWsAATQMs.jpg:small
sanaa ili ivutie lazima iwe nadhifu.

angalia msivyo serious kwenye kuandika plate number za magari yenu mpaka kwenye zebra crossing hapo.

jitahidini kuongeza umakini kazi zenu zitaonekana.
 
Bonge la creativity, si vibaya kama tutaiga! pingli-nywee ni nani aliyekuja na hii idea?...
Sio mradi wa serikali, ni initiative ya wakenya tu, kikundi cha wasanii zaidi ya 40, wacheki kule twitter, #MyMarkMyCity wakiongozwa na @MufasaThePoet. Wanafanya kazi nzuri sana.
EL2a7SuWsAAG84E.jpg:small
 
sanaa ili ivutie lazima iwe nadhifu.

angalia msivyo serious kwenye kuandika plate number za magari yenu mpaka kwenye zebra cross hapo.

jitahidini kuongeza umakini kazi zenu zitaonekana.
Zebra Cross ndio msalaba wa kanisa lipi?
 
Back
Top Bottom