NAIROBI, KENYA: Mahakama yaamuru Televisheni zilizofungiwa zifunguliwe

Lini mahakama za Tz nazo zitakuwa zinatengua makatazo ya hovyo kwa vyombo vyetu vya habari kama magazeti kwa 'hati ya haraka' kama ya wenzetu Kenya?
 
Lini mahakama za Tz nazo zitakuwa zinatengua makatazo ya hovyo kwa vyombo vyetu vya habari kama magazeti kwa 'hati ya haraka' kama ya wenzetu Kenya?

Siku mahakama za Tanzania zitakapo jitambua Jaji mkuu akapatika kwa nafasi yake kutanganzwa watu wenye vigezo wakomba sio kuteuliewa na Rais Jaji anateuliwa na Rais unategemea nini?
 
Unareason kama kondoo
 
Lini mahakama za Tz nazo zitakuwa zinatengua makatazo ya hovyo kwa vyombo vyetu vya habari kama magazeti kwa 'hati ya haraka' kama ya wenzetu Kenya?
Kila nchi na taratibu zake, kama za kenya zimekukuna sana - hamia huko, na inakuwa rahisi zaidi ikiwa utapata mme kwani utapata uraia free.
 
Kazi ya Mahakama sio kupinga Maamuzi ya kijinga ya Serikali, jifunze kwanza hilo then tuendelee
Kazi ya mahakama ni kupinga jambo lolote ambalo ni kinyume cha sheria ikiwemo serikali inapovunja katiba. Jifunze kwanza hilo then tuendelee
 
key words:
1.meaning of Courts, technicalities and justices...
2.formation of those courts...
3.Main body
4. Recommendation
5. Conclusion
hahahahhahhahh. ehe! nimepata maksi ngapi? isije ikawa maksi za namba za viatu vya watoto.
Ungekua darasa langu tungekuita John Kisomo, hizo zote kisa maksi 20?
 
Hivi huko kenya kuna Serikali na Mahakama..!

Mbona huku kwetu SUGU tu anapigishwa Kwata bila sababu ya Msingi..!

Ni nani anaamuru hili..?
 
Hivi huko kenya kuna Serikali na Mahakama..!

Mbona huku kwetu SUGU tu anapigishwa Kwata bila sababu ya Msingi..!

Ni nani anaamuru hili..?
Nyinyi hamna mahakama, mna serikali tu. Sisi tuna mahakama na tuna serikali. Hio ndio inaitwa demokrasia. Ila sijui kama umewahi kulisikia jina hilo 'demokrasia?'
 
Kenya...one of the most litigious nation on earth...You guys keep the judiciary busy...Kind of shows the Judiciary is somewhat independent...
 
Kenya...one of the most litigious nation on earth...You guys keep the judiciary busy...Kind of shows the Judiciary is somewhat independent...
Aliyepeleka kesi hiyo mahakamani si wakili wa media zilizozimiwa mitambo. Bali ni Mr. Okiya Omtata. Siasa kando, this guy is the African Superman! Defender of the Kenyan masses, the voiceless and the downtrodden citizens. Ever consistent. God bless Mr. Okiya Omtata!
 
Kenya si miongoni mwa shitholes countries. Yaani mambo yao tofauti.
 
Safi sana.
Hongereni wakenya.
Mpo vizuri sana.

Haki zenu mnazijua na mnazipata kwa wakati.

Kuwa na akili weweee[emoji3]
Nia ya RAILA hadi kujiapisha ni kutaka wakenya wapigane wauwane wachinjane
Lakini kakutana na wajanja[emoji3]UHURU KENYATA ni nomaaaa,,!!!!
Kamtegea jamaa kajiapisha kafanya kilaaaa kituuu,
Huku mapolisi wakiambiwa tulieni
Jeshi nalo wapo kimyaaa
Kama hawajui WHATS GOING ON
Baada ya kuapishwa tu sasa wanakamatwa mmoja baada ya mwingine kiulaiiiiiiiiiniii[emoji3]
Bila Vita
Bila maandamano
Bila watu kupigwa rungu,bomu na risasi
ULISHAWAHI KUSIKIA WAPI RAISI ANAAPISHWA HALAFU BAADA YA HAPO ANAENDA KWAKE KUPUMZIKA[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…