pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Lini mahakama za Tz nazo zitakuwa zinatengua makatazo ya hovyo kwa vyombo vyetu vya habari kama magazeti kwa 'hati ya haraka' kama ya wenzetu Kenya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini mahakama za Tz nazo zitakuwa zinatengua makatazo ya hovyo kwa vyombo vyetu vya habari kama magazeti kwa 'hati ya haraka' kama ya wenzetu Kenya?
Unareason kama kondooSijui, ila kwangu mimi ni kosa kubwa saba kwa nchi inayoendelea kukabidhi nchi kwa Wanasheria, hao wanapaswa kuja wakati nchi ishaendelea tayari, tumeona hapa kuna Watoto wamelelewa na Mbwa na wanakunywa maziwa ya Mbwa, hawa hawahitaji ujinga wa Wanasheria kwenda Mahakamani kila siku bali wanahitaji huduma na wanahitaji sasa hivi!
Kila nchi na taratibu zake, kama za kenya zimekukuna sana - hamia huko, na inakuwa rahisi zaidi ikiwa utapata mme kwani utapata uraia free.Lini mahakama za Tz nazo zitakuwa zinatengua makatazo ya hovyo kwa vyombo vyetu vya habari kama magazeti kwa 'hati ya haraka' kama ya wenzetu Kenya?
Kazi ya mahakama ni kupinga jambo lolote ambalo ni kinyume cha sheria ikiwemo serikali inapovunja katiba. Jifunze kwanza hilo then tuendeleeKazi ya Mahakama sio kupinga Maamuzi ya kijinga ya Serikali, jifunze kwanza hilo then tuendelee
Ungekua darasa langu tungekuita John Kisomo, hizo zote kisa maksi 20?key words:
1.meaning of Courts, technicalities and justices...
2.formation of those courts...
3.Main body
4. Recommendation
5. Conclusion
hahahahhahhahh. ehe! nimepata maksi ngapi? isije ikawa maksi za namba za viatu vya watoto.
Nyinyi hamna mahakama, mna serikali tu. Sisi tuna mahakama na tuna serikali. Hio ndio inaitwa demokrasia. Ila sijui kama umewahi kulisikia jina hilo 'demokrasia?'Hivi huko kenya kuna Serikali na Mahakama..!
Mbona huku kwetu SUGU tu anapigishwa Kwata bila sababu ya Msingi..!
Ni nani anaamuru hili..?
===Safi sana.
Hongereni wakenya.
Mpo vizuri sana.
Haki zenu mnazijua na mnazipata kwa wakati.
Aliyepeleka kesi hiyo mahakamani si wakili wa media zilizozimiwa mitambo. Bali ni Mr. Okiya Omtata. Siasa kando, this guy is the African Superman! Defender of the Kenyan masses, the voiceless and the downtrodden citizens. Ever consistent. God bless Mr. Okiya Omtata!Kenya...one of the most litigious nation on earth...You guys keep the judiciary busy...Kind of shows the Judiciary is somewhat independent...
hahahahahahahaahhUngekua darasa langu tungekuita John Kisomo, hizo zote kisa maksi 20?
Safi sana.
Hongereni wakenya.
Mpo vizuri sana.
Haki zenu mnazijua na mnazipata kwa wakati.