Nairobi, Kenya: NASA wakijiandaa kumuapisha Odinga, bustani ya Uhuru Park imefungwa kwa muda usiojulikana

Gharama ya anakichotafuta iko karibu yake.Kenya haitaendelea kumsubiri mtu mmoja.
Huo ni uhaini...adhabu yake ni kifo.
 
Apishwa tuu mzee baba naona kidogo itakua nafuu kuliko kua na jirani na yule mkikuyu mnafiki........
 
This guy is wise
 
Apishwa tuu mzee baba naona kidogo itakua nafuu kuliko kua na jirani na yule mkikuyu mnafiki........
Kwahivyo kwa akili zako za shule ya chekechea RAO akijiapisha wakikuyu wote ndo watakufa au? Naona bongo movie zilivokuvuruga akili.
 
Mkuu una hoja nzito ila nafkiri tunakosea tunapomlaumu odinga..... Makosa aliyafanya kenyatta na IEBC tokea mwanzo

Baada ya chaguzi kufutwa ilitakiwa wasikilizane na mabadiliko yafanyike IEBC lakini contrary hakuna lililobadilika na uchaguzi ukafanyika kwa lazima hapo ulitegemea odinga afanyeje??

Upinzani wakaomba mazungumzo lakini kenyatta walikataa ulitaka odinga awaambie nini wafuasi wake??? Au ulitaka acheke tu baada ya kuporwa ushindi

Najua anachofanya odinga ni kibaya sana na kinyume cha katiba lakini kwangu mimi naona HAKUWA NA NAMNA sababu ushindi aliporwa alafu hawataki hata kumsikiliza madai yake..... HE HAS NO OPTION
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…