Nairobi kuzishinda Nigeria na Afrika Kusini kwenye ukuaji

mkuu wacha matusi, bwege tusi kubwa sana huku south, kama hizo picha sio za nairobi si useme tu ni za somalia mogadishu, ila kwa kuwa huko ni kwenu tuambie ukweli we ndo unachungulia hapo juu!
 

nyumba za middle class south b, kama fungu la nyanya masalo.
 
Hizi habari zimechapwa na east african magazine,ni za upendeleo kwani zimeonyesha upande mmoja tu wa kenya na wakati lajiita east african,hoja haina mashiko.
 
w
 
pleo said:
View attachment 367389 south b ni nzuri kwa mkenya masikini anayefanya kazi masaa tano kupata chakula cha siku moja.


Weye mshenzi!.....hiyo hapo sio SOUTH B , ni slum za Huruma......moderator mniban mkipenda na uonevu wenyu uliyo na ubaguzi, ilhali watz humu wanaporomosha matusi usiku/mchana!

naanza kuichukia liforum hii!
 
anti meza mate kidogo, keyboard yako inapaliwa mi huko kwenu mgeni naomba unielekeze hili ghorofa lililolala lipo sehemu gani? unajua limejengwa na bongo lala hata dog wangu simruhusu aingie humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…