pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,444
- 2,737
mkuu wacha matusi, bwege tusi kubwa sana huku south, kama hizo picha sio za nairobi si useme tu ni za somalia mogadishu, ila kwa kuwa huko ni kwenu tuambie ukweli we ndo unachungulia hapo juu!pleo. unajiokotea mapicha hata si ya south B, bwege kabisa, hizo picha ni za kule majengo yanabomolewa kule huruma, hata unaona zimewekwa alama ya X na NCC (nairobi city council) na moja imeandikwa tenants to vacate imidiatelly, waka kueka picha za uongo ili kudanganya watu na propaganda, ati south B