poleni [emoji23][emoji28][emoji23]Soon tuu tutarusha kubwa zaidi wasitutambie vitu vidogo hivyo kwanza hela ya tanzanite zetu hizo
Sisi ni matajiri tunasaidia kila MTUTanzanite zenu alafu hela wanazo wakenya...nyie ni nani
.....
Mi huwa nashangaa kila mwaka watu wanamaliza vyuo lakini hakuna tofauti yeyote inayo tokea az if kama tuko kwenye genge la porojo na YouTube's.Kujisema vibaya ni jambo la kushangaza lakini hakuna namna ...
Wakati majirani zetu wanainuka vizuri kiteknolojia kutokana na Elimu bora Tanzania inaendelea kuibua makorokocho kwenye Elimu.
Nipo huko miaka mingi mzee,Njoo Quora kwenye discussion za nano-satellite utajifunza kitu (kama Kingereza hakitakupiga chenga kama kawaida yenu) halafu uje uwahubirie Watanzania wenzio, maana huwa mnatia aibu.
Ule mkong'oto wa Wakenya enzi zile baada ya uchaguzi kidogo uli wahamasisha na kuwafanya kuheshimiana, atleast mihimili yao inafanya kazi kwa nafasi yake.. Sisi kila mhimili upo chini ya rais na kila kitu kipo ki siasa zaid.. Siku tukifanya kazi ki ueledi bila kuingiliana mihimili tunaweza fanya mambo mengi zaidi.. Japo tutakuwa tumekumbuka Shuka asubuhi tayari kushakucha kabisaKujisema vibaya ni jambo la kushangaza lakini hakuna namna ...
Wakati majirani zetu wanainuka vizuri kiteknolojia kutokana na Elimu bora Tanzania inaendelea kuibua makorokocho kwenye Elimu.
Hongera tanzaniaSisi ni matajiri tunasaidia kila MTU
Kujisema vibaya ni jambo la kushangaza lakini hakuna namna ...
Wakati majirani zetu wanainuka vizuri kiteknolojia kutokana na Elimu bora Tanzania inaendelea kuibua makorokocho kwenye Elimu.
It's not about serikali pekeake hata wananchi pia, kuna watu wengi wanataaluma hizo na wengine wamesomea nje lakini hakuna aliye na wazo la hata kujaribu, watu wote wanaangalia pesa na siasa,hatuna risk takers upande wa science labda upande wa kubet na tatu mzuka. Niliwahi kuandika post humu kuhusu space research centre na nilitoa wazo la watu kutoka taaluma za engineering, mathematics na physics kujitokeza kuunganisha taaluma na kufanya kitu kimoja kuhusu hilo na kuna baadhi yao walinifata inbox lakini wote mwisho wa siku wakapotelea kusikojulikana... Wanasema itatucost sana na itachukua muda mrefu, hakuna cha bure kila kitu kinacost na kinachukua muda kitu cha muhimu ni kutake risk.... High risk high return, tusitegemee wanasiasa katika hilo, hata hiyo ya Kenya hajaitengeneza raisi wala waziri mkuu
Basi wewe hujui satellite Ni kitu gani na kifanya niniAcheni ujinga nyinyi, serikali ikitengeneza satelite yake mtasema haina faida kwa mwananchi wa chini.