Nairobi-made satellite ready for launch into space

Nairobi-made satellite ready for launch into space

Huto tudude tunauzwa kuanzia $35,000

Njoo Quora kwenye discussion za nano-satellite utajifunza kitu (kama Kingereza hakitakupiga chenga kama kawaida yenu) halafu uje uwahubirie Watanzania wenzio, maana huwa mnatia aibu.
 
Kujisema vibaya ni jambo la kushangaza lakini hakuna namna ...
Wakati majirani zetu wanainuka vizuri kiteknolojia kutokana na Elimu bora Tanzania inaendelea kuibua makorokocho kwenye Elimu.
 
Kujisema vibaya ni jambo la kushangaza lakini hakuna namna ...
Wakati majirani zetu wanainuka vizuri kiteknolojia kutokana na Elimu bora Tanzania inaendelea kuibua makorokocho kwenye Elimu.
Mi huwa nashangaa kila mwaka watu wanamaliza vyuo lakini hakuna tofauti yeyote inayo tokea az if kama tuko kwenye genge la porojo na YouTube's.
 
Njoo Quora kwenye discussion za nano-satellite utajifunza kitu (kama Kingereza hakitakupiga chenga kama kawaida yenu) halafu uje uwahubirie Watanzania wenzio, maana huwa mnatia aibu.
Nipo huko miaka mingi mzee,
Btw, Huwa tunatia aibu kwa nani?
 
Hizo technological advancements tutazisikia kenya tu. Watz Tumekabidhi nchi (na wengine wamekabidhi akili zao) kwa washamba wasiojua hata maana ya space exploration.
 
Kujisema vibaya ni jambo la kushangaza lakini hakuna namna ...
Wakati majirani zetu wanainuka vizuri kiteknolojia kutokana na Elimu bora Tanzania inaendelea kuibua makorokocho kwenye Elimu.
Ule mkong'oto wa Wakenya enzi zile baada ya uchaguzi kidogo uli wahamasisha na kuwafanya kuheshimiana, atleast mihimili yao inafanya kazi kwa nafasi yake.. Sisi kila mhimili upo chini ya rais na kila kitu kipo ki siasa zaid.. Siku tukifanya kazi ki ueledi bila kuingiliana mihimili tunaweza fanya mambo mengi zaidi.. Japo tutakuwa tumekumbuka Shuka asubuhi tayari kushakucha kabisa
 
Kujisema vibaya ni jambo la kushangaza lakini hakuna namna ...
Wakati majirani zetu wanainuka vizuri kiteknolojia kutokana na Elimu bora Tanzania inaendelea kuibua makorokocho kwenye Elimu.

It's not about serikali pekeake hata wananchi pia, kuna watu wengi wanataaluma hizo na wengine wamesomea nje lakini hakuna aliye na wazo la hata kujaribu, watu wote wanaangalia pesa na siasa,hatuna risk takers upande wa science labda upande wa kubet na tatu mzuka.

Niliwahi kuandika post humu kuhusu space research centre na nilitoa wazo la watu kutoka taaluma za engineering, mathematics na physics kujitokeza kuunganisha taaluma na kufanya kitu kimoja kuhusu hilo na kuna baadhi yao walinifata inbox lakini wote mwisho wa siku wakapotelea kusikojulikana...

Wanasema itatucost sana na itachukua muda mrefu, hakuna cha bure kila kitu kinacost na kinachukua muda kitu cha muhimu ni kutake risk.... High risk high return, tusitegemee wanasiasa katika hilo, hata hiyo ya Kenya hajaitengeneza raisi wala waziri mkuu
 
It's not about serikali pekeake hata wananchi pia, kuna watu wengi wanataaluma hizo na wengine wamesomea nje lakini hakuna aliye na wazo la hata kujaribu, watu wote wanaangalia pesa na siasa,hatuna risk takers upande wa science labda upande wa kubet na tatu mzuka. Niliwahi kuandika post humu kuhusu space research centre na nilitoa wazo la watu kutoka taaluma za engineering, mathematics na physics kujitokeza kuunganisha taaluma na kufanya kitu kimoja kuhusu hilo na kuna baadhi yao walinifata inbox lakini wote mwisho wa siku wakapotelea kusikojulikana... Wanasema itatucost sana na itachukua muda mrefu, hakuna cha bure kila kitu kinacost na kinachukua muda kitu cha muhimu ni kutake risk.... High risk high return, tusitegemee wanasiasa katika hilo, hata hiyo ya Kenya hajaitengeneza raisi wala waziri mkuu

umeandika point tupu! ila ni utopia

hayo mambo huwa hayawezekaniki kabisa bila government will, donors force
watu hawawezi kukaa na njaa wakaanza kuumiza vichwa kisa wakufurahishe wewe!! this starts from top to bottom

hawa hawa watanzania unaowadharau ndio wako space station nyingi sana duniani, I mean nyingi
 
Nasikia gharama iliyotumika kwenye marudio ya uchaguzi ingerusha satellite mbili kama za kenya.
 
Sisi tunaendelea kuwawunda madiwani nacwabunge na kuibua chaguzi ndigo kila baada ya miezi kadhaa. Kenya wanaweza hiyo? Waambie walipe kama wataweza
 
Back
Top Bottom