Nairobi: Makamishna wa Mamlaka za Kodi Afrika Mashariki wazindua ripoti ya utendaji

TRA Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 16, 2022
Posts
128
Reaction score
370
Katika siku ya pili ya mkutano #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda alishiriki pamoja na Makamishna Wakuu wenzake katika uzinduzi wa ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Mapato za Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2023/24 pamoja na Ripoti ya Mashauri ya Kikodi yaliyoamriwa katika nchi wanachama kwa mwaka 2023.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…