Nairobi: Master Fabricaters inaweza kushindana na China utengenezaji wa magari kuvutia abiria?

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Body na Magari ya kichina kama Yutong, Zhongtong, Golden Dragon ni kama ambavyo yamekuwa gumzo kubwa kwa wamiliki wa magari hapa Tanzania kwa sasa.

Je basi hii iliyotengenezwa na Master Fabricaters Nairobi nchini Kenya inaweza kushindana kisoko kwa kuvutia abiria kwa uzuri wa gari, ubora, uimara wa body na magari ya kichina?
 
Hilo ni basi moja au tofauti?

Maana picha ya nje inaonyesha mlango upo katikati Iilhali kutoka ndani inaonekana mlango uko mbele kabisa
 
China ni wakuda sana huwezi kushindana nao kwenye soko wakakuacha salama,

Hawa wachina unaweza kuwazidi kete wakaja na gari zao hata ikitokea ajali ya kutisha abiria wote wakatoka salama..

So Do'nt compare chines and kenya in the isue of busness
 
Hilo ni basi moja au tofauti?

Maana picha ya nje inaonyesha mlango upo katikati Iilhali kutoka ndani inaonekana mlango uko mbele kabisa
Mbona hakuna picha ambayo kwa ndani mlango unaonekana?
 
Hao Kenya ni kutengeneza magari au kuunda bodys?

Kwel kenya wameenda mbali sn ukiona hata taa za mabas wanatengeneza vizr sn
 
Baado sana watasubiri....geometrical poor
 
Wakiongeza juhudi wanaweza ila kwenye finishing bado sana..
 
Taifa la wajinga hilo hakuna kitakacho fanyika hapo , kimbizeni mwenge tuu mkafuzindue vyoo vya shule za msingi
Na wakiambiwa kuwa mwenge ni kupoteza muda tu hakuna maana yeyote, wanakuwa wakali sana. Hizi nchi za Afrika bhana yaani Shithole
 
Siyo haba. Wamejitahidi. Lakini haya si ndo huzidi uzito mizani? Maana,hesabu za uwiano wa uzito wa body na axles,ukiwa na makosa kidogo tu,gari linakua na uzito usio wa lazima
 
Siyo haba. Wamejitahidi. Lakini haya si ndo huzidi uzito mizani? Maana,hesabu za uwiano wa uzito wa body na axles,ukiwa na makosa kidogo tu,gari linakua na uzito usio wa lazima
Yale ya kuzidi uzito walikuwa wakichukua Chassis ya Lori na Engine yake halafu ndo wanatengeneza basi. Haya yana vipimo vyote ili kuhimiri ushindani
 
Hii gari body katengeneza master lakini finishing ya ndani yote kafanya mchina mpaka Ac mchina ndio kafunga,alafu hilo body tayari limeshaanza kuweka ufa kwenye filla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…