Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Je basi hii iliyotengenezwa na Master Fabricaters Nairobi nchini Kenya inaweza kushindana kisoko kwa kuvutia abiria kwa uzuri wa gari, ubora, uimara wa body na magari ya kichina?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia mpangilio wa viti. Unaonyesha mlango uko mbele na si katikati.Mbona hakuna picha ambayo kwa ndani mlango unaonekana?
Hao Kenya ni kutengeneza magari au kuunda bodys?![]()
![]()
![]()
Body na Magari ya kichina kama Yutong, Zhongtong, Golden Dragon ni kama ambavyo yamekuwa gumzo kubwa kwa wamiliki wa magari hapa Tanzania kwa sasa.![]()
Je basi hii iliyotengenezwa na Master Fabricaters Nairobi nchini Kenya inaweza kushindana kisoko kwa kuvutia abiria kwa uzuri wa gari, ubora, uimara wa body na magari ya kichina?
Baado sana watasubiri....geometrical poor![]()
![]()
![]()
Body na Magari ya kichina kama Yutong, Zhongtong, Golden Dragon ni kama ambavyo yamekuwa gumzo kubwa kwa wamiliki wa magari hapa Tanzania kwa sasa.![]()
Je basi hii iliyotengenezwa na Master Fabricaters Nairobi nchini Kenya inaweza kushindana kisoko kwa kuvutia abiria kwa uzuri wa gari, ubora, uimara wa body na magari ya kichina?
Taifa la wajinga hilo hakuna kitakacho fanyika hapo , kimbizeni mwenge tuu mkafuzindue vyoo vya shule za msingiTusubiri tz ya viwanda tugatengeneza ya kwetu
Na wakiambiwa kuwa mwenge ni kupoteza muda tu hakuna maana yeyote, wanakuwa wakali sana. Hizi nchi za Afrika bhana yaani ShitholeTaifa la wajinga hilo hakuna kitakacho fanyika hapo , kimbizeni mwenge tuu mkafuzindue vyoo vya shule za msingi
Yale ya kuzidi uzito walikuwa wakichukua Chassis ya Lori na Engine yake halafu ndo wanatengeneza basi. Haya yana vipimo vyote ili kuhimiri ushindaniSiyo haba. Wamejitahidi. Lakini haya si ndo huzidi uzito mizani? Maana,hesabu za uwiano wa uzito wa body na axles,ukiwa na makosa kidogo tu,gari linakua na uzito usio wa lazima
Hii gari body katengeneza master lakini finishing ya ndani yote kafanya mchina mpaka Ac mchina ndio kafunga,alafu hilo body tayari limeshaanza kuweka ufa kwenye filla![]()