kuzidi uzito kunasababishwa na axle configuration tu hapoYale ya kuzidi uzito walikuwa wakichukua Chassis ya Lori na Engine yake halafu ndo wanatengeneza basi. Haya yana vipimo vyote ili kuhimiri ushindani
Na wakiambiwa kuwa mwenge ni kupoteza muda tu hakuna maana yeyote, wanakuwa wakali sana. Hizi nchi za Afrika bhana yaani Shithole
Angalia kulia.Hili bus alina Gia?
Pia Quality GarageKuna Body by Dar Coach nao wanajitahid sana
Bongo hatuna akili hatutaweza kuwa na akili mpaka tuache kula vyakula visivyo na afya ya ubongo. Utafiti unasema ugali hauna faida yoyote kwy ubongo, sasa apa Tanzania, watu wanakula ugali asubuhi, mchana na jioni. Tunazidi kuzaa vizazi vya mabongolalalWaache kukimbiza mwenge wa forojo ganze na kuimba ccm mbele kwa mbele [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Bongo ni nchi wajinga sana uswahili mwingi taarabu nyingi na shithole leaders
Wenzetu huko walikoendelea,kila kitu hufanywa kwa vifaa vya teknolojia ya hali ya juu. Electrolysis na Electroplating ndiyo mifumo waitumiayo.Hii gari body katengeneza master lakini finishing ya ndani yote kafanya mchina mpaka Ac mchina ndio kafunga,alafu hilo body tayari limeshaanza kuweka ufa kwenye filla
Sure mi nina admire hawa wakenya kwa hatua kubwa kama hii ni mataifa machache ya kiafrica hasa subsaharan yenye uthubu kama huu ukitoa South Africa .Mi naamin inabidi ifike wakati tuwe na brand zetu za magari na vifaa mbalimbali ili kuchochea maendeleo katika bara letu na kuwa prove wrong wanaotuita shitholes.Hongera Kenya. Watz sisi kazi yetu kutafuta vijisababu vya kushindwa na kukosoa kila kitu. Tuache kuwa sooo negative
Ni kweli kabisa. Waafrika inabidi tushirikiane kujenga mataifa yetu yawe na maendeleo sio kuhujumiana wenyewe kwa wenyewe. Wakenya ni wabunifu sana.Sure mi nina admire hawa wakenya kwa hatua kubwa kama hii ni mataifa machache ya kiafrica hasa subsaharan yenye uthubu kama huu ukitoa South Africa .Mi naamin inabidi ifike wakati tuwe na brand zetu za magari na vifaa mbalimbali ili kuchochea maendeleo katika bara letu na kuwa prove wrong wanaotuita shitholes.
Economical kwa nani? Nyie ndo abiria mlozoea kurundikwa kwenye daladala kama viazi, makalio nje ya dirisha afu mnaona freshi tu.Hilo basi haliko economical. Kwanza lina viti vichache pia mchina hanywi mafuta sana
Mkuu upo sahihi kabisa, hasa hiyo point ya mafuta ndio iliyowakimbiza matajiri wa mabasi marcopolo mpaka yutongHilo basi haliko economical. Kwanza lina viti vichache pia mchina hanywi mafuta sana