Nairobi: Master Fabricaters inaweza kushindana na China utengenezaji wa magari kuvutia abiria?

Na wakiambiwa kuwa mwenge ni kupoteza muda tu hakuna maana yeyote, wanakuwa wakali sana. Hizi nchi za Afrika bhana yaani Shithole
Wapumbavu wa sisiemu badala wafanye wananchi kuikimbiza elimu wanawafanya wakimbize MWENGE na maPHD yao ya kukimbiza mwenge shitPHD
 
Hawa master fabricators wanafaa wanunue vifaa na mashini mpya na waongeze mashine ili waingie kwa fabrication ya personal cars alafu wapige dili na campuni kama VW,toyota,Isuzu ambao wako na assembly plant kenya, VW iwe ina import Engine,Chasis,wiring, alafu sisi tunatengeneza body,Windshield,Doors,lights,....

VW production line at Kenya vehicle manufacturers plant ,

 
Kwa kweli masters wanajitahidi sana na wamekuwa wanaimprove sana over the. Years.
Big up director wao mzee virdee, mwaka uliopita alisherehekea in style![emoji122] [emoji3]

Tahmeed hufanyiwa fabrication na body works za mabasi yao aina ya scania hapo masters

 
Ila kampuni zingine ndogo ndogo pia zinajitahidi sana kama hawa choda fabricators
 

Attachments

  • FB_IMG_1516560767268.jpg
    135.9 KB · Views: 105
duu kumbe yanatoka kenya...yametulia sana
 
Wako vizuri asee, ila kwenye dashboard waongeze utundu kama wanahusika wao.
 
Haahh kijana katika hizo gari kila kitu master wamechukua china kazi yao ilikuwa ni kufanya assembling tu
 
Haahh kijana katika hizo gari kila kitu master wamechukua china kazi yao ilikuwa ni kufanya assembling tu
Kama ingekua hivyo wangeitwa master assemblers... Unajua maana ya fabricating bus bodies and interior?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…