Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matatus are Kenya’s famed mode of public transport. Just like London has the Tube and Chicago has the El, Kenya has the matatu . They are fashioned out of 14-seater vans or 32-seater passenger buses![]()
LovelyThis interior was the best I have ever seen.MADE IN KENYA.![]()
They are nice at looking, but make the city overcrowded, busy and noisy area like Kencom(ambassador kwa stage) na huku near nawekana sacco very busy..... A plan should made such that all public transporter(matatus) park in peripheral and let people walk on foot to enter the city,,,,, only private cars should be allowed to get into the city ndaaaani ndaaaani kapsa
Watz wengi, (Nikiwemo Mimi) huwa napenda sehemu safi na yenye utulivu na hewa safi.
Kwani watz wote mmezeeka hapa hizo ma ma3 niza vijana..then Kuna ma nganya za wazee pia zenye zimetulia.Watz wengi, (Nikiwemo Mimi) huwa napenda sehemu safi na yenye utulivu na hewa safi.
Hata safari za Mikoani gari za kisasa zenye Namba D ndio hupendwa na abiria wengi.
Dereva akiweka mziki mkubwa au sauti kubwa ya tv ni lazima atafokewa maana si kila mtu atavutiwa na mziki husika..
Kupanda madude ya Namna hii kwakweli Mimi mtanikosa. Yaani dude halieleweki mlango upo wapi? Limechorwachorwa mamichoro ya kishetani sijui.
Binafsi Mimi I am sorry.
Hatuna huo utamaduni, nadhani ndio naona kwa Mara ya Kwanza Kenya kama MNA matatu za Vijana na za wazee.Kwani watz wote mmezeeka hapa hizo ma ma3 niza vijana..then Kuna ma nganya za wazee pia zenye zimetulia.
Ni freedom of choice man..Kuna mzee anapenda mziki atapanda mat ya mziki na Kuna kijana atapanda mat zimetuliaHatuna huo utamaduni, nadhani ndio naona kwa Mara ya Kwanza Kenya kama MNA matatu za Vijana na za wazee.
Mimi Hata home kwangu huwa naweka mziki Wa sauti ya wastani..
Nikiweka juu majirani watanigongea. Sio ustaarabu in fact.
Halafu si kila kijana yupo interested na kila muziki . kila mtu anapenda mziki anaoupenda.
Kitu cha kuelewa pia ni kuwa even if wangekuwa ni vijana tu, bado wako na hulka na matakwa tofauti,
Trust me , njoo Tz na gari hilo uweke muziki wako Wa nguvu halafu Pima reaction za Watu.
Watz wengi, (Nikiwemo Mimi) huwa napenda sehemu safi na yenye utulivu na hewa safi.
Hata safari za Mikoani gari za kisasa zenye Namba D ndio hupendwa na abiria wengi.
Dereva akiweka mziki mkubwa au sauti kubwa ya tv ni lazima atafokewa maana si kila mtu atavutiwa na mziki husika..
Kupanda madude ya Namna hii kwakweli Mimi mtanikosa. Yaani dude halieleweki mlango upo wapi? Limechorwachorwa mamichoro ya kishetani sijui.
Binafsi Mimi I am sorry.
Hapo sawa MIGOS
aiseee mbona yatisha hiyo mi-bus unaweza ota usiku!!
Swahili yako mbofu sana buda!!At least umebonga for once...but iyo Brt yenu vile hujaa hadi wasee wanasimama si better nganya za nai nakaa solo nkiskiza mziki mos mos..