Nairobi ni Jiji kubwa East and Central Africa but......

Nairobi ni Jiji kubwa East and Central Africa but......

Sure, I guess he is one of those Tanzanian beggers who unfortunately couldn't evoke enough pity to get coins thrown his way so decided to hustle up his way. Considering he came from a very laid back society, competing in Nairobi's fast moving society didn't favor him - his only option was the slums and not just the slums but the poorest in the slums. No wonder he's so bitter.
...bless your cotton socks, else u will be summoned
 
Kimoja unachotakiwa kufaham ,watZ ni waongo kweli kweli na hawaoni aibu kudanganya ndio maana wanajulikana kama wadanganya/wadanganyika.
Tofauti na waKenya ambao wanakupa ukweli tena usoni,ulichukue uliache!
Hawanaga vitendo huwa maneno maneno tu tena mareefu ya uwongouwongo,jamaa wa maneno mengi hawa .
Vibakuli vyao huwa virefu, huwa nalichukulia lolote walisemalo bila uzito wowote hususan wakiwa kwenye vikao vyao vya uswahilini.
Dah! Hizi arguments huwa zinanisikitisha sana, nikiangalia idadi ya wakenya nilio nao ofisini kwangu and some of them we share apartment, jinsi tunavyoishi kwa upendo na kuheahimiana huwa haionyeshi chuki nnazoziona kwenye mitandao,

Sijapenda alichokiandika mtoa hoja maana kalenga kuwashambulia wakenya rakini kitendo cha kurespond kwa kudhiaki wa Tz sote si jambo la busara, Karibuni kunitukana kama nimekosea ila mniunge mkono kama sijakosea, [HASHTAG]#Tuunganishe[/HASHTAG] mikono kupinga kubaguana
 
Wanjala picha izo sizilezile Unatuma daily au kuna jipya apo

Stick na hoja
 
Wanjala picha izo sizilezile Unatuma daily au kuna jipya apo

Stick na hoja

Za kawaida kukujulisha hali ya jiji ni hizi
C4w773-VYAAx9m7.jpg


C4jYrCtWMAIRomv.jpg


Company-and-Business-Buildings-in-Nairobi.jpg


Nairobi.jpg


Nairobi29.jpg


Wasiwasi wako umenifanya ni post
 
Na hili hapa hunishangaza sana kuhusu watz wanaodai "kuwahi" kuzuru Nai, karibu nyote hudai kuwahi kufika slums na kushudia maisha huko. Ati wamepata kutembelea mji mzima wa Nai (within a two-day stay) na kujionea maisha kwenye slums zote!
Hehehe Hata mimi hushangaa

Kila mTZ amefika Nairobi huwa anaenda slums

Nimeishi Nairobi miaka Tano Mombasa 2 na Nakuru Lakini Hata Slum ya BONDENI Nakuru sijawai Kanyaga ....
 
Mmeshindwa kueleewa thread inataka nn mnapost picha ....uelewa finyu
 
Dar hakuna fujo kama huko kwa hasa usafiri...
 
nairobi ni jiji au mabandani pale? hamna tofauti na sehemu pa kufugia nguruwe... mabanda tupu... nmeishi nairobi about two years... hata dar hamna kitu... matopeni tu! Jiji ni Harare
It means ur poor fam ...

Wacha kuanika umaskini wako nje hivi....

Kama pesa yako inakupeleka Kibandani wacha Kuikashifu nairobi kwa bidii yako Hafifu....

Kama Mfuko yako ina kupeleka Kwa kibanda wacha kuBlame Nairobi Blame mfuko yako
 
Masikini wa kutupwa wengi wenu mnakoweza kuishi ni mabandani, hata Afrika Kusini na Masri yapo............inaonesha ulivyo maskini kama wabongo wenzako.
Can only afford to live in such places, ungalikua mwenye hela hungezisikia hata zilipo hizo mabanda uyasemayo.
Ndio Nasema most of this Tanzanians who arrive in Kenya and Go straight to slums
Can be Either Telling a Lie like MK254 said or Maybe they are just poor and that is the only place they can afford There is No other imperical sense unless They work for an NGO or UN which they dont
 
It means ur poor fam ...

Wacha kuanika umaskini wako nje hivi....

Kama pesa yako inakupeleka Kibandani wacha Kuikashifu nairobi kwa bidii yako Hafifu....

Kama Mfuko yako ina kupeleka Kwa kibanda wacha kuBlame Nairobi Blame mfuko yako

Hakuna yule hata mmoja amefika Karen na iko tu next to Kibera ama hata Langata Kwenyewe, yani wao huenda slums tu, ama ni wauza madawa, maana hayo yanaweza uzwa huko kwa urahisi kuliko Runda
 
Back
Top Bottom