OPERATION ENTEBBE
Senior Member
- Feb 13, 2017
- 120
- 74
- Thread starter
-
- #41
...bless your cotton socks, else u will be summonedSure, I guess he is one of those Tanzanian beggers who unfortunately couldn't evoke enough pity to get coins thrown his way so decided to hustle up his way. Considering he came from a very laid back society, competing in Nairobi's fast moving society didn't favor him - his only option was the slums and not just the slums but the poorest in the slums. No wonder he's so bitter.
Maybe he lives in one.
Dah! Hizi arguments huwa zinanisikitisha sana, nikiangalia idadi ya wakenya nilio nao ofisini kwangu and some of them we share apartment, jinsi tunavyoishi kwa upendo na kuheahimiana huwa haionyeshi chuki nnazoziona kwenye mitandao,Kimoja unachotakiwa kufaham ,watZ ni waongo kweli kweli na hawaoni aibu kudanganya ndio maana wanajulikana kama wadanganya/wadanganyika.
Tofauti na waKenya ambao wanakupa ukweli tena usoni,ulichukue uliache!
Hawanaga vitendo huwa maneno maneno tu tena mareefu ya uwongouwongo,jamaa wa maneno mengi hawa .
Vibakuli vyao huwa virefu, huwa nalichukulia lolote walisemalo bila uzito wowote hususan wakiwa kwenye vikao vyao vya uswahilini.
Wanjala picha izo sizilezile Unatuma daily au kuna jipya apo
Stick na hoja
Wanjala picha izo sizilezile Unatuma daily au kuna jipya apo
Stick na hoja
Hehehe Hata mimi hushangaaNa hili hapa hunishangaza sana kuhusu watz wanaodai "kuwahi" kuzuru Nai, karibu nyote hudai kuwahi kufika slums na kushudia maisha huko. Ati wamepata kutembelea mji mzima wa Nai (within a two-day stay) na kujionea maisha kwenye slums zote!
It means ur poor fam ...nairobi ni jiji au mabandani pale? hamna tofauti na sehemu pa kufugia nguruwe... mabanda tupu... nmeishi nairobi about two years... hata dar hamna kitu... matopeni tu! Jiji ni Harare
Ndio Nasema most of this Tanzanians who arrive in Kenya and Go straight to slumsMasikini wa kutupwa wengi wenu mnakoweza kuishi ni mabandani, hata Afrika Kusini na Masri yapo............inaonesha ulivyo maskini kama wabongo wenzako.
Can only afford to live in such places, ungalikua mwenye hela hungezisikia hata zilipo hizo mabanda uyasemayo.
Loool Cheap....Umenitukana ngoja nikusubiri utakapokuwa mkimbizi Tanzania kipindi cha uchaguzi wenu
Loool Cheap....
I better go to Ethiopia or Somalia or Dubai as a refugee what is in Tanzania???
Mbona povu! Kwanza utauwawa kabla hujavuka SomaliaLoool Cheap....
I better go to Ethiopia or Somalia or Dubai as a refugee what is in Tanzania???
Nani kakwambia kuna wakimbizi Mozambique kutoka Tz! Ungesema wanakwenda kutembelea au wanaopita kwenda SAWenyewe wanafukuzwa wakimbizi wao huko Mozambique. Nkt!
It means ur poor fam ...
Wacha kuanika umaskini wako nje hivi....
Kama pesa yako inakupeleka Kibandani wacha Kuikashifu nairobi kwa bidii yako Hafifu....
Kama Mfuko yako ina kupeleka Kwa kibanda wacha kuBlame Nairobi Blame mfuko yako
Nani kakwambia kuna wakimbizi Mozambique kutoka Tz! Ungesema wanakwenda kutembelea au wanaopita kwenda SA