Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakenya haohaonani aliiba cheni ya diamond
WaTanzania hatujafikia njaa za hio levelHmm!... Kaingizwa mjini, chezea Kikuyu wewe! Ni sawa kama ange-perform Moshi yangetokea hayo hayo...
Utakua na utindio wa akiliHmm!... Kaingizwa mjini, chezea Kikuyu wewe! Ni sawa kama ange-perform Moshi yangetokea hayo hayo...
Mwenye mtindio wa akili ni wewe Mungiki. Kwanza rudia vitu vya Desiigner...Utakua na utindio wa akili
😀😀😀😀Desiigner amekuja 254 na tumetulia tuli kama maji ndani ya mtungi!
lakini wacha aje yule casanova a.k.a Dhomo a.k.a Chibudenda, baas hakukaliki!!!!! atahakikisha ametembea kila mtaa kila kona akishangaa shangaa majumba marefu na mabarabara na ma-flyover huku akikenua meno hadi jino la christmas lionekane huku watu wakimshangilia kama ngedere vile... anadhani watu wanacheka naye kumbe wanamcheka ajabu. hahahahaa. kweli 'monkeys attracts people'.... sio mimi nimesema