NAIROBI: Tizama Wakenya walivo na dhiki, Desiigner aibiwa viatu, saa mpaka jino lake la dhahabu!

Duh, sasa hilo jino hadi wanang'oa/chomoa yeye ana perform tu, inaelekea alikuwa na mzuka sana
 
Screenshot_20181211-090604.jpg
 
Hmm!... Kaingizwa mjini, chezea Kikuyu wewe! Ni sawa kama ange-perform Moshi yangetokea hayo hayo...
 
Nyang'au anajitahidi kuung'oa mlima Kili uwe kwao tu! Ila hawezi, basi anasambaza habari za kitalii kuwa uko kwao tu! Jamaa ni hatari sana..
 
Desiigner amekuja 254 na tumetulia tuli kama maji ndani ya mtungi!
lakini wacha aje yule casanova a.k.a Dhomo a.k.a Chibudenda, baas hakukaliki!!!!! atahakikisha ametembea kila mtaa kila kona akishangaa shangaa majumba marefu na mabarabara na ma-flyover huku akikenua meno hadi jino la christmas lionekane huku watu wakimshangilia kama ngedere vile... anadhani watu wanacheka naye kumbe wanamcheka ajabu. hahahahaa. kweli 'monkeys attracts people'.... sio mimi nimesema
 
Juzi Diamond kaibiwa Chain Tz. Mnadhiki zaidi kwa kumwibia Simba wenu.
 
Desiigner amekuja 254 na tumetulia tuli kama maji ndani ya mtungi!
lakini wacha aje yule casanova a.k.a Dhomo a.k.a Chibudenda, baas hakukaliki!!!!! atahakikisha ametembea kila mtaa kila kona akishangaa shangaa majumba marefu na mabarabara na ma-flyover huku akikenua meno hadi jino la christmas lionekane huku watu wakimshangilia kama ngedere vile... anadhani watu wanacheka naye kumbe wanamcheka ajabu. hahahahaa. kweli 'monkeys attracts people'.... sio mimi nimesema
😀😀😀😀
aiseee
 
Back
Top Bottom