Nairobi tops region with 5 times the number of skyscrapers as DAR es Salaam

Nairobi tops region with 5 times the number of skyscrapers as DAR es Salaam

Zigi Rizla

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
1,064
Reaction score
1,107
2059735_Screenshot_20190514-092755.png

It is also Worth noting that Mombasa has a total of 49 skyscrapers
 
View attachment 1265234
Nairobi has twice the number of high rise buildings when compared to Dar
 
Kulinganisha Dar na Nairobi ni kukosa huruma kwa Dar, tuliiachia Mombasa ndio wapo kwenye level moja.
GDP ya Nairobi karibu iwe sawa na uchumi wa Tanzania yote, yaani muungano wa nchi mbili za Tanzania ni sawa na Nairobi ikiwa imesimama yenyewe.
 
Acha usenge wewe East Africa Tanzania ndio nchi kubwa halafu Acha kulinganisha Nairobi na Dar es salaam . Nilikwenda Nairobi mbona pa kawaida Sana
Kulinganisha Dar na Nairobi ni kuikosea Dar huruma, tuliiachia Mombasa ndio wapo kwenye level moja.
GDP ya Nairobi karibu iwe sawa na uchumi wa Tanzania yote, yaani muungano wa nchi mbili za Tanzania ni sawa na Nairobi ikiwa imesimama yenyewe.
 
Acha usenge wewe East Africa Tanzania ndio nchi kubwa halafu Acha kulinganisha Nairobi na Dar es salaam . Nilikwenda Nairobi mbona pa kawaida Sana

Sizungumzi kuhusu ukubwa wa ardhi, maana ukubwa wa Tanzania yote ni sawa na uunganishe Kenya, Rwanda na Uganda, ila kiuchumi Kenya inakaribia kuwa mara mbili ya Tanzania.
Halafu wewe kuja na kuona Nairobi pa kawaida inategemea na ulipofikia kwa uwezo wa mfuko wako, kama ulilala kwenye gesti uchwara kisa huna hela lazima uone pa kawaida, ila waulize mabwenyenye wa Arusha ambao huja kula bata huku.
 
Wakikuyu mwaka huu wenu mtatoka povu la kila aina ili mbakie madalakani maana nchi imewashinda
View attachment 1265234
 
Back
Top Bottom