Nairobi Traffic Ranked 2nd Worst In The World

middle class ya dar ni chini sana...magari watatoa wapi.
big rich cities huwa na traffic despite good Infrastructure.
magari yananunuliwa kwa wingi sana
Jiskilize tena[emoji38]
 
Hawa majamaa sijajua Yale mabarabara ni Urembo tuu au Fashion...
Maana hakuna liwasaidialo
We mtu una mibarabara mi lane kwa mi lane tena sita sita na mi flyover bwelele lakini bado wanalia na foleni...

Shubamiiiiiiit

Hawakufanya study ya kutosha kutokana na mazingira yao wao walikopi ramani za watu na kujenga kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…