Nairobi Traffic Ranked 2nd Worst In The World

Nairobi Traffic Ranked 2nd Worst In The World

Yeah Nairobi ni ligi ya Mumbai, Pune, New delhi. Dar ni ligi ya Toronto, London, Newyork, Paris etc
20180307_171741-1.jpeg

Chagua kati ya haya magonjwa ya akili upi unakusumbua
 
Hawa majamaa sijajua Yale mabarabara ni Urembo tuu au Fashion...
Maana hakuna liwasaidialo
We mtu una mibarabara mi lane kwa mi lane tena sita sita na mi flyover bwelele lakini bado wanalia na foleni...

Shubamiiiiiiit

Hawakufanya study ya kutosha kutokana na mazingira yao wao walikopi ramani za watu na kujenga kwao.
 
Back
Top Bottom