Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Still waiting...
 
Bado mnabuy hizi trains na mnaclaim mnajenga electric... Naona mnachezwa

hawa watu wakitaka ku compete hua wanaangalia Kenya kwanza wamefanya nini ndio hao pia wakaigize. sioni tofauti ya izo wagons zao na za Kenya. oh.. btw, za Kenya ziko njiani kwa majaribio saa ii. Tz can you pls raise the bar.
 
Nimekuja sasa kuwashika. tuanze taratibu. Nimepitia uzi huu nimeona kuna makosa mengi sana wenzetu kutoka kenya wanayafanya. Thread hii inahusu majengo marefu floors zaidi ya 20. Nimeshangaa wenzetu kutoka kenya wameanza kuingiza vitu tofauti kabisa na thread inavyosema. Sasa halafu bahati mbaya mwanzishaji wa uzi kachagua watu wa kuendesha huu uzi.
Sasa basi kwa upande wa Tanzania ninaomba mimi niingilie kati ili tuweze kwenda kwa pamoja.

Kwa kuwa wenzetu wamethubutu kuonesha majengo ambayo hayajakamilika sasa basi itatubidi na sisi tufanye hivyo maana hakuna namna "WAPIGWE TU"
 
Naanza kwa kuweka list hapa nitaendelea kuiongeza ya Dar es salaam
TPA 40F
PSPF Tower A 35F
PSPF Tower B 35F
Mzizima Tower Office 35F
Mzizima Tower Residential 33F
PPF HQ 35F
MNF Tower 1 32F
MNF Tower 2 32F
Uhuru Media Tower 32F
Rita Tower 30F
Millenium Tower II 30F
Dar es salaam Stock Exchange 30F
NHC Morocco Square Tower 30F
NHC Morocco Square Tower 2 30F
NHC Golden Anniversary Building 26F
Umoja wa Vijana Complex Tower 1 25F
Umoja wa Vijana Complex Tower 2 25F
Uhuru Heights 25F
NHC Morocco Square Tower 3 25F
PSPF Tower 24F
NHC Tower 23F
Quality Boulevard 22F
Benjamini Mkapa Towers Tower 22F
City Plaza 22F
KHAKI PLAZA 22F
Viva Tower Tower 1 21F
Viva Tower Tower 2 21F
 
Kitu kingine nimeshangaa mwenye hii thread kasema zaidi ya floors 20 lakini cha kushangaza yeye kaweka majengo yenye floors 20. Sasa kwa maana hiyo naomba na mimi niweke yenye urefu huo.

BOT tower North 20F
BOT Tower South 20F
NHC Victoria palace 20F
Dar es Salaam|Sanaa Tower 20
Al Karimo Plaza 20F
NSSF Ilala Mafao House 20F
Ushirika towers 20F
KKOO Mall 20F
 
i don't see the point of this battle kiukweli, isn't the answer obvious?

PS: does this include towers under construction?
 
Unadai tuweke under construction na proposed?????
 
Unadai tuweke under construction na proposed?????
Sijaweka proposed hapo dogo. Hayo ni majengo yapo Dar. Muulize mwanzisha thread. Kwikwikwi. Ukitaka proposed mbona utakimbia hapa. Kuna gorofa floors 60 proposed hapa Dar.
 
Basi twende kwenye Makazi halisi ya Raia wakawaida tuone
Hapa kuna watu hawata comment
 
Huyu mleta mada mpuuzi
Kachagua mtu baye hawezi kufuatilia majengo ya wakenya
mada ilistahili kuwepo na watu 5 kila upande
na mmoja awe mhariri
Majengo 5 hayaja funguliwa
lakini jamaa kaweka
yapo mengine hata kwa macho hayafiki 15 anakuambia 22
jengo lina fl 22 anakuambia 26!!

Naona tuanze upya
Watano kila upande,
Na tukubariane ikiisha hii
twende kwenya makazi ya kawaida tuone
Dar Vs Nairobi nani anamakazi ya hovyo kwa wananchi wake?
 
Sijaweka proposed hapo dogo. Hayo ni majengo yapo Dar. Muulize mwanzisha thread. Kwikwikwi. Ukitaka proposed mbona utakimbia hapa. Kuna gorofa floors 60 proposed hapa Dar.
Gani hiyo proposed na ni 60...nimefuata hizo ma towet zote zingine zilikwama zingine proposed...huwezi niletea uwongo hapa
 
Bado mnabuy hizi trains na mnaclaim mnajenga electric... Naona mnachezwa

We received these in December 2014 for the Central railway and Tazara. Tunachezewa na nani wakati Electric train ni kitu kingine kabisa, tatizo mnajump kwenye conclusion too fast. That was almost 3 years ago.

MABEHEWA MAPYA YATUA KWA MWAKYEMBE LEO

For central railway

and these for Tazara.

Bado huwa nawashangaa tukisema reli manatupostia lile dude kama linatumia mkaa
😀😛

Tulishaondoka huko siku nyingi, too bad mnafikiri bado tupo 1970 kama mlivyozoea

sasa hivi tunajiandaa kutengeneza kitu kingine kabisa.

Bado mnabuy hizi trains na mnaclaim mnajenga electric... Naona mnachezwa
onyesheni zenu apa

....pia na hyo mpya yenu .....maana ile inayokatizaga kibera pale ni takataka kabisa siku itabutuka na kuuwa raia wote pale
 
hawa watu wakitaka ku compete hua wanaangalia Kenya kwanza wamefanya nini ndio hao pia wakaigize. sioni tofauti ya izo wagons zao na za Kenya. oh.. btw, za Kenya ziko njiani kwa majaribio saa ii. Tz can you pls raise the bar.
nyie ndyo mwaitazama bongo sisi ni mbele kwa mbele speed 1000M lazima mcheki nyuma ili ujue kama adui yako anakuja na bomu la machozi ama nuclear ili ujue jinsi ya kujikinga .....na bongo hatukwepeki mtaijua tu .....ngoma ndyo kwanza inaanza..
 
mumechelewa bro. kumbuka Rome was not built in a day. sisi kwa ii game tulianza kitambo sana mpaka sasa tumebobea. ndio maana utakuta Kenya inaenda battle na S.A ama Naija na bado tunawabwaga kila upande. nyinyi kama munatafuta kiki, jaribuni Uganda ama Kampala. ju muko ligi yao. kwa sasa bado mutaiona paa Kenya.
 
Usisahau Mara world baba hatariiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…