Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

mlichowah kipi kujengewa mji...[emoji3] [emoji3] [emoji3] kutangulia siyo kufika na tajiri wenu africa ni Tanzania kama kwenye vita nyie ndyo chambo ama wagambo makuruti tuliwatanguliza ...sasa tumekuja kuchukua nafasi zetu.....unaambiwa dalili ya mvua ni mawingu ....kinachowatokea ams kuendelea sasa ni treiller... movie bado nyie siyo level zetu nyie ni maanda ground ....sema tulitelezaga nyuma......
 
Wanajua fika kwamba kama tungepata uongozi bora Sub Sahara Africa with exclusive SA sisi tulitakiwa tuwe second to none
yeah! ila ni vema tukajitahidi kuwa na mshikamano nao hasa ukizingatia ni kama taifa mtani
 
1. Nairobi - Britam Tower - 33 floors. KweliKwanza lete jibuView attachment 494362
Nairobi ilinganishe na Arusha. Kwa Daslamu mtasubiri sana aisee. Nilifika mwaka juzi Nairobi nikawa natafta stendi ya mabasi ya Mwanza sikuamini kuona mabasi yanapaki pembezoni mwa maduka. Hakuna stendi maalumu. Nikajiuliza hii ni Nairobi au Songea!?[emoji23]
 

Hahahaha... I have seen foolish people, imbeciles, nitwits lakini yako umevunja rekodi. Pongezi, Nakutumia zawadi
 
Tanzania ina cities 6 kuna dar es salaam,Mwanza,arusha,Zanzibar,tanga,mbeya na soon Dodoma iko mbioni kuitwa city.....stay cool
Those are which cities...its only Zanzibar&arusha that are famous.. Zingine ni cities kwa standard zenu ziipimanishwa na za Kenya zitakua za mwisho
 
Arusha, Dar es salaam, Mbeya, Mwanza na Tanga. Kuna miji soon itakuwa cities, Dodoma, Morogoro na Shinyanga
Nairobi ,mombasa ,nakuru ,eldoret , kisumu,kericho,kiambu,nyeri ...etc ...kma huijui kenya fyata mdomo na uende ufanye research ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…