Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

😀😀😀😀😀😀😀 middlwe economy ya kwenye makaratasi kwanza malizeni janga la njaa alafu muje mkiwa mumeshiba hahahahhaha😀😀😀😀😀😀😀😀😀
huyo aliyetueka sisi middle income ndio aliyewaeka nyinyi LDC
 
Tuma enye ni +100$ billion nikuvulie kofia..Kenya ndio tumepata resources na tutautalize
😀😀😀😀😀😀😀😀 unaongea sana my friend lakini kwenye resources acha kabisa zungumza mambo mengine 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
huyo aliyetueka sisi middle income ndio aliyewaeka nyinyi LDC
😀😀😀😀😀😀 na sasa povu zinawatoka hua munanifurahisha sana mkiambiwa dar kubwa zaidi ya city zenu tatu hamutaki hahahahhahahah😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
hahahahahahah bongo hatariiiii 2017 hiii na bado tunajenga kwa speed zote 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 tuna viwanda vikubwa vya cement zaidi ya 15 kwanini tusijenge 😀😀😀😀😀😀😀😀😀 nyie munategemea bamburi heheheheh
you r very ignorant.....update your servers upstairs before you embarrass yourself again
 
😀😀😀😀😀😀 na sasa povu zinawatoka hua munanifurahisha sana mkiambiwa dar kubwa zaidi ya city zenu tatu hamutaki hahahahhahahah😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
no point,no facts,,,,,just yapping....okay dar nikubwa kushinda new york..u happy?
 
you r very ignorant.....update your servers upstairs before you embarrass yourself again
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 dalili za povuuuuuuuuuuuuuuuuuuu 1590.5 km sq hahhahhahahaha eti utuletee 696 km sq huku mombasa 300 km sq kisumu 200 km sq hahahahahhahahah bado hamutoboi kwa dar tu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
no point,no facts,,,,,just yapping....okay dar nikubwa kushinda new york..u happy?
ni kubwa ndio hahahahahhaha 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

New York City added roughly 4 million residents in the past 100 years. Dar es Salaam will add 21 million over a similar span.
 
Lusematic unasema kenya ilijengwa na wakoloni, google Nairobi in 1963 angalia picha vizuri, alafu linganisha na ya 2017, wacha propaganda ya CCM, tafuta pia mall ya kwanza kenya ilijengwa when? Dar imeanza kuinuka juzi mnapiga makelele, eti tanzania ina kila kitu kushinda kenya., angalia gdp ya dar vs nairobi., uone uzito na pia ya nchi kwa ujumla. Endeleeni na kujijenga kimya kama Ethiopia, ndafurahia kama mtaipiku kenya., nangoja sana kushuhudia wimbo wa CCM "tutaipiku Kenya".,
 
Kuadd wa2 21 million unasherekea? Unataka slums zijae dar..enyewe hufijiri
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 dalili za povuuuuuuuuuuuuuuuuuuu 1590.5 km sq hahhahhahahaha eti utuletee 696 km sq huku mombasa 300 km sq kisumu 200 km sq hahahahahhahahah bado hamutoboi kwa dar tu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
This is coal in kitui it is equal to your GDP..$40b kwale $100b add zenu zote
http://allafrica.com/stories/201207040184.html
 
Lusematic unasema kenya ilijengwa na wakoloni, google Nairobi in 1963 angalia picha vizuri, alafu linganisha na ya 2017, wacha propaganda ya CCM, tafuta pia mall ya kwanza kenya ilijengwa when? Dar imeanza kuinuka juzi mnapiga makelele, eti tanzania ina kila kitu kushinda kenya., angalia gdp ya dar vs nairobi., uone uzito na pia ya nchi kwa ujumla. Endeleeni na kujijenga kimya kama Ethiopia, ndafurahia kama mtaipiku kenya., nangoja sana kushuhudia wimbo wa CCM "tutaipiku Kenya".,
ha haaa asa unabisha nyievmlikuta miji kidogo imeshaendelezwa na wakoloni...kwa asilimia kubwa ila nyie mkadandia fuso mngekuwa mmeanza kama sisi mngeumia tena sana asilimia kubwa ya mafanikio kenya ni ukoloni/mkolon usibishe
kwani ukibisha tena nitakuchapa fimbo tano za makalioni
 
hehehehehe ndugu kwa tanzania utasubiri sana tena sana 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Kijana tunatumia facts hapa..Tanzania ilikua na resources but Kenya imediscover na tutazitumia hatuko mabongolala ka nyinyi...leta link hapa ka huna ya $100 b jikate
 
Lusematic unasema kenya ilijengwa na wakoloni, google Nairobi in 1963 angalia picha vizuri, alafu linganisha na ya 2017, wacha propaganda ya CCM, tafuta pia mall ya kwanza kenya ilijengwa when? Dar imeanza kuinuka juzi mnapiga makelele, eti tanzania ina kila kitu kushinda kenya., angalia gdp ya dar vs nairobi., uone uzito na pia ya nchi kwa ujumla. Endeleeni na kujijenga kimya kama Ethiopia, ndafurahia kama mtaipiku kenya., nangoja sana kushuhudia wimbo wa CCM "tutaipiku Kenya".,
Kuipita Kenya?kwani Kenya mnann?nyie mnaongoza kwa umaskini uliokithiri ndio tukae tuwawaze?sisi tunawaza kuikwamua Tanzania iwe nchi bora zaidi ya leo! ! Tutakapokua bora zaidi ya leo ndipo malengo yetu yatakua yametimia!!huo ujinga unauwaza wewe hatuna vision hyo na haiji kua sehemu ya ilani ya chama chochote apa nchini!!
 
Kuadd wa2 21 million unasherekea? Unataka slums zijae dar..enyewe hufijiri
Slum zipo hapa my friend hata ukatae vp ukweli hautapingika daima hahahhahahhaha
Umeona area ya slum hhehehhehe
1200px-Nairobi_slums_area.svg.png
 
ha haaa asa unabisha nyievmlikuta miji kidogo imeshaendelezwa na wakoloni...kwa asilimia kubwa ila nyie mkadandia fuso mngekuwa mmeanza kama sisi mngeumia tena sana asilimia kubwa ya mafanikio kenya ni ukoloni/mkolon usibishe
kwani ukibisha tena nitakuchapa fimbo tano za makalioni
Fanya utafiti wacha yap yap bila facts., uchumi wa tanzania na kenya zilikua sawa., kuna kipindi tz ilifanya vizuri kuliko kenya lakini mikakati ya ccm ni hovyo, it couldnt sustain development., ukatae ukubali, tanzania mlilalia masikio, sasa ndio jitu linaamka! hapo sipingi
 
Back
Top Bottom