Kwikwikwi.... πππππBahati nzuri I know kenyans very well, ndio maana hamunipi shida kabisa πππππππ
Looks like he is breaking all traffic rules at onceWHAT IS HAPPENING HERE?
Now you know how many πDar ina gorofa not more than 5 20+ floors
TouchΓ©.Looks like he is breaking all traffic rules at once
Sorry, this was meant for the Nairobi-Dar thread.WHAT IS HAPPENING HERE?
huyo dereva na hiyo gari hana akili kweli kenya hamna madereva bora ni utumbo tu yaan hyo si sehemu ya kugeuzia gari lakini yeye kageuza ...kenyan poor driverNairobi
Kwa nini?wakenya huwa wanatuchukia mdomoni tu lakini mioyoni mwao wanatupenda sana na wanatuogopa sana!
Jipe moyo hvo hvo tu hehhehehhehehehehKwikwikwi.... πππππ
Nimeenda huko Le mac jioni hii nikashangaaπ±π±, Ghorofa lenyewe kumbe wanatudanganya kwa nje! Ndani nimekuta ina floor moja tu!!!
Kesho naamkia TPA kutafuta floor zote za Ndani zisizoonekana kwa nnje na kuziweka kweupeπ!
Watch this spaceπ
Huwezi nieleza kitu kwa au nikuoneshe passport hangu imegongwa mhuri wa boder yenu zaidi ya 10 times hahahhahahahha njoo utembee huku hakuna ukabila starehe zote utazipata ambazo kwenu hakuna πππYou are so obsessed avec Kenya mate,
Tutembelee ntakupa mahali pa kukaa for a few weeks
Hatuweki minara kuongeza meters sisi tunajenga floors hakuna ujanja hapa heehehhehheheUrefu wake in metres ni ngapi??
Kwikwikwikwi....Jipe moyo hvo hvo tu hehhehehheheheheh
Mwaka huu kama ukiota mapembe basi ongezea mkiaππππ
Hio ndio bongo lazma iwasumbue medulla oblongataπππ
Na bado huu ndio mwanzo ndio kama kumekucha πππππ
Kama wewe unajiamini dume tuanze mm na wewe completed buildings over 20 sasa hvi hakuna shida britam nisiione na lemac nisiioneKwikwikwikwi....
hahahaha....... dah! Mimi Na wewe buildings over 20!!Kama wewe unajiamini dume tuanze mm na wewe completed buildings over 20 sasa hvi hakuna shida britam nisiione na lemac nisiione
Twende kazi kama unajiamini wewe mwanaume
Mwanaume mzima unakua muoga hahahhahahahahaha....... dah! Mimi Na were buildings over 20!!
I doubt if you even have a brain my friend!
Let me get this straight,.... assuming i was Kenyan, ikiwa Mimi Na wewe TPA itakua yellow? Itahama iwe Morocco? Ama tutaanza kupost picha zile zile all over again?
Kwikwikwikwi..... we only share nationality but that does not we in anyway mean we are on the same level!!
Una uhuru wa kutoa povu utakavopendaView attachment 498403 so... thanks, but no thanks. Kwikwikwikwi..... break a leg my friend!
Kwamaana hiyo nijishushe hadi level yako?!Mwanaume mzima unakua muoga hahahhaha
Jiamini mtoto wa kiume kma ni kazi twende kazi alafu uone kama utatoka humu ππππ
Mm hua siongei sana kwangu vitendo tu
On a serious note,Mwanaume mzima unakua muoga hahahhaha
Jiamini mtoto wa kiume kma ni kazi twende kazi alafu uone kama utatoka humu ππππ
Mm hua siongei sana kwangu vitendo tu