Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Hiyo list ya wikipedia ulicopy lini, Mbona urefu wake na floor count zimegeuzwa?

View attachment 494735

TPA iko number 30
View attachment 494736

Pia ukipitia hapa utaona pia wameandika 35 134M
View attachment 494737
Tanzania Ports Authority Headquarters, Dar es Salaam | 1204324 | EMPORIS

Tena mbona umecrop hio picha, Ukionyesha pamoja na PSF twin tower ambazo ni 35 floors, zote utaona zinakaribiana, .. We mwenyewe umesema ni 178M, screenshot yako inasema ni 180M.. Sasa kama PSF inajulikana ni 153M... we unaona haya majengo yanaenza kua na tofati ya 178m-153M= 25M!!!!!

View attachment 494738

Ukisort by floor Egypt ndo inashikilia

View attachment 494739
Mliedit kijinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo ndo nimegundua kuwa kuna editting
 
Hiyo list ya wikipedia ulicopy lini, Mbona urefu wake na floor count zimegeuzwa?

View attachment 494735

TPA iko number 30
View attachment 494736

Pia ukipitia hapa utaona pia wameandika 35 134M
View attachment 494737
Tanzania Ports Authority Headquarters, Dar es Salaam | 1204324 | EMPORIS

Tena mbona umecrop hio picha, Ukionyesha pamoja na PSF twin tower ambazo ni 35 floors, zote utaona zinakaribiana, .. We mwenyewe umesema ni 178M, screenshot yako inasema ni 180M.. Sasa kama PSF inajulikana ni 153M... we unaona haya majengo yanaenza kua na tofati ya 178m-153M= 25M!!!!!

View attachment 494738

Ukisort by floor Egypt ndo inashikilia

View attachment 494739
Lazima muumie2 mwaka huu
PSPF imepitwa sana mana TPA imeanza chini sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan unaleta kawebsite uchwara hako
We jamaa hujielewi kweli yan
Naona majengo yamekushinda ukaona utengeneze kawebsite kako
Kwa taarifa2 ni kuwa kuna jengo la TPA lilikuwa proposed ila likahairishwa
Lilikuwa 35flr na muundo ulikuwa mwingine
Wakahairisha wakajenga hili
01c1c9e964c5ec376543aa1e2fb80064.jpg

Shida yako mambo ya majengo umeyaanza juzi juzi humu JF baada ya kusikia PSPF imejengwa. Mimi majengo nimeyafuatalia kabla ujue meaning ya skyscraper. Hayo akina PSPF na TPA nimeyajua yakiwa propossed stage. Hiyo thread unayopost ya Skyscrapercity mimi ndio mmoja wa wachangiaji tangu ianze na hiyo 40 floors tumesumbuana na watu kule Skyscrapercity sana. Jengo lilikuwa 35 floors, jamaa mmoja kiligoland akaona limepita PSPF urefu na kidogo akasema labda litaenda hadi 40 floors. Jamaa mwingine hapo anaitwa kizibo akakwamilia hapo eti jengo ni 40 floors akamwambia @bantugubro ambaye alikua mod pale ageuze title ya thread iwe 40 floors kisha huyo huyo kizibo akabadilisha floor count ya TPA kwa Wikipedia hadi 40 floors na hiyo ndiyo unayokwamilia. Mimi nimekupa website ya architects waliodesign hilo jengo na ni 35 floors. Kama K&M Archplans ni uchwara mbona wao wamedesign the best building in Tz so far?
 
1. Nairobi Britam (33) v Dar TPA (35)
2. Nairobi UAP (33) V Dar PSPF (35)
3. Nairobi Times Tower (33) V Dar PSPF (35)
4. Nairobi KICC V ????

Waiting KweliKwanza
 
Mi nafikiri muache battle za kijinga coz kama wakenya wanatuzidi uchumi in wakati sasa wa kuiga baadhi ya vitu vyao ili twende nao sambamba
mfano wakenya washakua na flyovers mda mrefu na sisi juzi juzi tukajenga mwendo kasi safi
Walishazingua ujenzi wa reli ya standard gauge mda na sisi leo rais kafanya ivo
Kuhusu thamani ya shilingi siongei wametupiga gepu kubwa
Walishatangazwa kuwa kwenye nchi zenye maendeleo ya kati mwaka Jana au juzi sisi ndo tunaelekea uko
Nafikiri badala ya kufananisha nyumba mngebase kwenye viashiria vingine vya uchumi kama elimu, teknolojia, kipato cha watu, bajeti ya nchi, utoaji wa huduma za jamii miundo mbinu ya usafirishaji na kadhalika mngefanikiwa nyumba ni kitu kidogo sana katika kupima maendeleo ya miji au nchi Ila nafikiri miaka so mingi tutawafikia wakenya
 
Shida yako mambo ya majengo umeyaanza juzi juzi humu JF baada ya kusikia PSPF imejengwa. Mimi majengo nimeyafuatalia kabla ujue meaning ya skyscraper. Hayo akina PSPF na TPA nimeyajua yakiwa propossed stage. Hiyo thread unayopost ya Skyscrapercity mimi ndio mmoja wa wachangiaji tangu ianze na hiyo 40 floors tumesumbuana na watu kule Skyscrapercity sana. Jengo lilikuwa 35 floors, jamaa mmoja kiligoland akaona limepita PSPF urefu na kidogo akasema labda litaenda hadi 40 floors. Jamaa mwingine hapo anaitwa kizibo akakwamilia hapo eti jengo ni 40 floors akamwambia @bantugubro ambaye alikua mod pale ageuze title ya thread iwe 40 floors kisha huyo huyo kizibo akabadilisha floor count ya TPA kwa Wikipedia hadi 40 floors na hiyo ndiyo unayokwamilia. Mimi nimekupa website ya architects waliodesign hilo jengo na ni 35 floors. Kama K&M Archplans ni uchwara mbona wao wamedesign the best building in Tz so far?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha ujinga wewe
Mimi mle nimeingia na nimeanza kuiona ata kabla huijui
Kuna TPA ilikuwa proposted ya 35 muundo ulikuwa tofaut iliachwa ikajengwa hii ya40

Usibishe ujinga bro
Nimeingiamo mimi af acha kupoteza mda wa kijinga
Nimeshakuacha ujue. Najua unapoteza mda hutaki tuendelee
Weka jengo lingine acha kukimbia
cf7923d72ed992f0c7cb60c7ab7b98a2.jpg

Na ni 178m
 
Oi twendelee sema kama unataka ligi au unaleta visingizio
Nipo dsm na nimeingia majengo mengi sana
 
Mi nafikiri muache battle za kijinga coz kama wakenya wanatuzidi uchumi in wakati sasa wa kuiga baadhi ya vitu vyao ili twende nao sambamba
mfano wakenya washakua na flyovers mda mrefu na sisi juzi juzi tukajenga mwendo kasi safi
Walishazingua ujenzi wa reli ya standard gauge mda na sisi leo rais kafanya ivo
Kuhusu thamani ya shilingi siongei wametupiga gepu kubwa
Walishatangazwa kuwa kwenye nchi zenye maendeleo ya kati mwaka Jana au juzi sisi ndo tunaelekea uko
Nafikiri badala ya kufananisha nyumba mngebase kwenye viashiria vingine vya uchumi kama elimu, teknolojia, kipato cha watu, bajeti ya nchi, utoaji wa huduma za jamii miundo mbinu ya usafirishaji na kadhalika mngefanikiwa nyumba ni kitu kidogo sana katika kupima maendeleo ya miji au nchi Ila nafikiri miaka so mingi tutawafikia wakenya
Acha kuongea kama hujisikii kukoment
Uchumi wa nchi wanatuzidi kwakua wanamashamba na makampuni mengi yamewekeza uko
Ila kwa majengo usiongee kabisa
Af kuwa proud of yur country
Kama hutak kuleta vitu usiongee mi nasafiliga kila mda
 
Oi twendelee sema kama unataka ligi au unaleta visingizio
Nipo dsm na nimeingia majengo mengi sana

Kama upo Dar es Salaam nenda kwa hilo jengo upige picha pale kwa lift upost hapa tuone ni floor ngapi maanake munatuona sisi wajinga. Meanwhile I'm waiting for tower number 4 from you.
 
Lazima muumie2 mwaka huu
PSPF imepitwa sana mana TPA imeanza chini sana
Kama imeanzwa chini, hio ni basement, usiesabu hio maanake itsbidi watu warudie kila jengo na kuongeza basement....
Kwa mfano jengo la times tower ukiangalia hapo kwa list imendikwa 33 floors lakini jengo lenyewe liko na 38 floors
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha ujinga wewe
Mimi mle nimeingia na nimeanza kuiona ata kabla huijui
Kuna TPA ilikuwa proposted ya 35 muundo ulikuwa tofaut iliachwa ikajengwa hii ya40

Usibishe ujinga bro
Nimeingiamo mimi af acha kupoteza mda wa kijinga
Nimeshakuacha ujue. Najua unapoteza mda hutaki tuendelee
Weka jengo lingine acha kukimbia
cf7923d72ed992f0c7cb60c7ab7b98a2.jpg

Na ni 178m

You can scream at the top of your lungs but the height of TPA will still remain 157m at 40floors. Jengo nishakuwekea KICC. Zamu yako sasa
 
Kama imeanzwa chini, hio ni basement, usiesabu hio maanake itsbidi watu warudie kila jengo na kuongeza basement....
Kwa mfano jengo la times tower ukiangalia hapo kwa list imendikwa 33 floors lakini jengo lenyewe liko na 38 floors
9200234216a224c3cc1de43ff0f7c3c2.jpg
f8e3cd3248ead61336eee3d2e5fea334.jpg
 
thread ya upuzi....kwanza inarudia mambo yaliyopo JF tayari..pili mnalinganisha mijengo na floors badala ya height...useless thread...I'm ashamed its a fellow kenyan who started this stupidity
 
Povu lingine hili apa
Mtakufa mwaka huu

Nairobiwalker dondosha lingine
 
Back
Top Bottom